Je ukauzu unakuwaje na unaanzaje?

Je ukauzu unakuwaje na unaanzaje?

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,753
Reaction score
9,575
Habari wadau wote wa hapa

Nimeuliza swali nahitaji kila mdau aseme aonavyo kuhusu UKAUZU unakuwaje au unaanzaje?

Karibuni kwenye kijiwe chetu leo sifundi kabisa bali tuko kwenye kuchangamshana na kuulizana
kufunda wiki ijayo nitakuja na somo maridhawa juju ya kumthibiti mwanaume wako wa ukweli?

karibuni katika mada isemayo je ukauzu unaanzaje?
 
Kwangu ukijifanya kauzu na mimi naweka ukauzuu zaidi ya dagaa kwetu tunauitaa wa meeee..

Jaribu uone
 
Back
Top Bottom