je ukicarry somo moja unaweza pangiwa ajira?

oxlade

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Posts
601
Reaction score
96
Naombeni msaada kujua hilo, je mtu akicarry na kamaliza chuo anaweza kupangiwa kituo cha kazi kwa kozi ya education?
 
Jomba kiufupi huwezi pangiwa kituo cha kazi wakati bado unasoma. Ukibeba somo huwezi kuhitimu mwaka huo mpaka usafishe hio shombo na mwaka unaofuta ndo uta hitimu na kupangiwa kituo cha kazi.
 
Nafikir jibu umelipata yaan hapo disco imenukia ukikaa vbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…