JF Doctor niliumia nikata kovu ambalo limetengeneza nyama iliyovimba kwenye ngozi, nina mpango wa kwenda kufanyiwa oparesheni ili ile nyama iliyovimba juu ngozi ikwanguliwe. Je, ile nyama iliyovimba ikitolewa inaweza kuvimba tena? Msaada wako JF Doctor.