Je ukifanyiwa oparesheni ya kovu lililovimba linaweza kuvimba tena?

Je ukifanyiwa oparesheni ya kovu lililovimba linaweza kuvimba tena?

Joined
Aug 26, 2012
Posts
56
Reaction score
9
JF Doctor niliumia nikata kovu ambalo limetengeneza nyama iliyovimba kwenye ngozi, nina mpango wa kwenda kufanyiwa oparesheni ili ile nyama iliyovimba juu ngozi ikwanguliwe. Je, ile nyama iliyovimba ikitolewa inaweza kuvimba tena? Msaada wako JF Doctor.
 
Back
Top Bottom