Je, ukijamba kwa bahati mbaya au kwa kulazimika uwapo Kanisani au Msikitini Dua yako inapokelewa na aliyeketi Juu Mbinguni?

Katika Uislam kujamba Hauzui Dua kupokelewa.Ila kujamba kunabatilisha swala.Kwa hiyo kama unasali inabidi uvunje swala ili ukapate udhu upya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…