Je, ukijitambulisha kuwa wewe ni 'Mkosoaji' Mkuu wa Rais Dkt. Magufuli 'Mtandaoni' lakini 'hufanikiwi' lipi la kufanya kati ya yafuatayo?

Mnyarwanda keshaunga hoja mkono. hela tamu sana
 
Mkuu, umerusha jiwe gizani/kichakani.

Walivyobobea kwenye matusi (wakidhani ndio ukosoaji), natumai utakuwa umejiandaa
 
Yule bwana ni fungu la kukosa lakini makamanda bado hawaamini kua JpM ni chaguo la Mungu . Bwana yule alianza kuichafua nchi huko nje lakini Kabuma, karudi nchi ni na mikwara ya kufa mtu, nayoimebuma, kagombea urais , watanzania tukamkataa, akabuma, kamanda chuki wa mpendwa wetu JpM, akabuma, kuingiza watu barabarani, maandamano yamebuma.

Siasa kama demu, kama hakutaki achana naye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…