Je, ukijitambulisha kuwa wewe ni 'Mkosoaji' Mkuu wa Rais Dkt. Magufuli 'Mtandaoni' lakini 'hufanikiwi' lipi la kufanya kati ya yafuatayo?

Je, ukijitambulisha kuwa wewe ni 'Mkosoaji' Mkuu wa Rais Dkt. Magufuli 'Mtandaoni' lakini 'hufanikiwi' lipi la kufanya kati ya yafuatayo?

1. Endelea tu na utaratibu wako wa Kimaisha na Familia yako ambayo huenda ikawa inakutegemea kuliko Siasa na Chuki zako?

2. Tambua kuwa unapoteza bure muda wako kwani wapo Manguli kukuzidi walianza na wakamshindwa?

3. Kuna muda utafika utaanza Kuonekana 'Kituko' kwa wale unaowashtakia au kuwapa Uzushi na Umbea?

4. Kubadili mbinu kwani ukiendelea nayo taratibu unaweza ukawehuka na kuwa Chizi /Taahira kabisa?

5. Kujitathmini kwani yawezekana 'Followazi' wako unaodhani wanakukubali kumbe wakawa 'Wanakusanifu' tu?

6. Kukubali kuwa uwepo wake 'Madarakani' Rais Dkt. Magufuli ni Mapenzi ya Watanzania wenye Akili na Matakwa yake Mungu?

7. Kuomba nawe uweze Kujiunga ama katika Chama cha 'Adui' yako Rais Dkt. Magufuli au kama hutaki unywe tu Sumu ufie mbali?
Mnyarwanda keshaunga hoja mkono. hela tamu sana
 
Mkuu, umerusha jiwe gizani/kichakani.

Walivyobobea kwenye matusi (wakidhani ndio ukosoaji), natumai utakuwa umejiandaa
 
Yule bwana ni fungu la kukosa lakini makamanda bado hawaamini kua JpM ni chaguo la Mungu . Bwana yule alianza kuichafua nchi huko nje lakini Kabuma, karudi nchi ni na mikwara ya kufa mtu, nayoimebuma, kagombea urais , watanzania tukamkataa, akabuma, kamanda chuki wa mpendwa wetu JpM, akabuma, kuingiza watu barabarani, maandamano yamebuma.

Siasa kama demu, kama hakutaki achana naye.
 
Back
Top Bottom