ABiClever Junior
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 948
- 548
Great thinker at work. I love you Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23]umetoka matembezi ukiwa barabarani unakuta iphone 6 katikati ya kinyesi cha binaadam je utaichukuwa au utaona kinyaa na kuiacha?
Everybody love Tanzania even he/she is no TanzanianGreat thinker at work. I love you Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha sawa bossUnatakiwa ukumbuke kwamba Hata babu naye alikuwa kijana.
Kwahiyo hata kinyesi nacho kilikuwa mahanjumati plus mapoko poko manjali....
Kwahiyo swali lako unatakiwa uulize
endapo utakuta iPhone 6+ kwenye pilau au viepe vya zamani, utaiacha?