#COVID19 Je, ukipata chanjo ya Corona ukitaka kusafiri unapima tena?

lodirofaa

Member
Joined
Jul 6, 2021
Posts
25
Reaction score
62
Wakuu nilikuwa nahitaji ufafanuzi je ukipata chanjo ya Corona ukitaka kusafiri unatakiwa upime tena?
 
Kupima lazima.

Chanjo haiguarantee kuwa hutopata tena Corona. Unaweza kupata chanjo na bado ukapata Corona.
Sio kupata tu Corona hata kutangulia is possible
 
Maelezo ya wizara yako wazi na yanaeleweka, chanjo haibadilishi chochote, unaweza kuambukizwa, kuambukiza na kufa pia hata baada ya chanjo.

Kupima na tahadhari inaendelea kubaki pale pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…