Je, ukipewa fursa ya kuchagua jina moja umwite mtoto wako kati ya majina 4 ya watu mashuhuri Tz, Lowasa, Lipumba, Jecha, polepole, utachagua lipi?

Je, ukipewa fursa ya kuchagua jina moja umwite mtoto wako kati ya majina 4 ya watu mashuhuri Tz, Lowasa, Lipumba, Jecha, polepole, utachagua lipi?

Tuna utamaduni wa kuwaita watoto wetu majina ya watu mashuhuri kama Ronaldo, Messi, Obama, Mrisho, Ben, Harrison. Je, ukipewa majina hayo 4 utachagua jina gani umwite mtoto wako mpendwa.
Ntachagua Lissu

Sent from my TECNO CX Air using Tapatalk
 
Nitamuita Tundu Antipas Asprin
1551903070213.png
 
Akili za mtanzania yaani inaudhi. Badala ya kuwaza na kuandika mambo muhimu. Mtu unakuja na kitu kama hiki. Halafu unasema nchi itaendelea kweli ccm watatawala MILELE kama wananchi wenyewe ndio hawa. Naionea huruma Tanzania
Mkuu ni kweli ubongo wa binadamu umejikunjakunja lakini ukizidi kujikunja kama wa kwako matokeo yake ndiyo haya ya watanzania ya sasa. Mtu anakomenti kama vile anaishi ndani ya chupa ndogo za soda hata uwezo wa kujiongeza hana.
 
Kumpa mtoto wako jina iwe ni fursa alafu tena jina lenyewe uchagulie hiiiiiiiiiiiiiiiiii hapana kwa kweli....
 
Majina mengine ya kuepuka kuwapa watoto ni pamoja na haya!
1. Pombe
2. Kangi
3. Kabudi
4. Ndugai
5. Makonda
 
Sina chaguo hapo
Watoto wangu nitawapa majina ya mababu na mabibi
Over
 
Back
Top Bottom