Ntachagua LissuTuna utamaduni wa kuwaita watoto wetu majina ya watu mashuhuri kama Ronaldo, Messi, Obama, Mrisho, Ben, Harrison. Je, ukipewa majina hayo 4 utachagua jina gani umwite mtoto wako mpendwa.
Mkuu ni kweli ubongo wa binadamu umejikunjakunja lakini ukizidi kujikunja kama wa kwako matokeo yake ndiyo haya ya watanzania ya sasa. Mtu anakomenti kama vile anaishi ndani ya chupa ndogo za soda hata uwezo wa kujiongeza hana.Akili za mtanzania yaani inaudhi. Badala ya kuwaza na kuandika mambo muhimu. Mtu unakuja na kitu kama hiki. Halafu unasema nchi itaendelea kweli ccm watatawala MILELE kama wananchi wenyewe ndio hawa. Naionea huruma Tanzania
Hata kama hukuweka jina hili nitamwitaTundu Lissu.Prof Jecha Lipumba Lowassa Polepole ili amfanane yule prof wa foreign kwa majina ma4
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora Lipumbaf😛Nitanyambulisha majina yote na kumuita LIPOJELO.