Je ukishinda bahati nasibu, unaweza kuomba usipigwe picha na jina lako lisitangazwe?

Wabetiji wengi huwa hatusomi kabisa T&Cs za bookies.
Sisi tunaangalia tu sehemu za kutick na accept.
Ukiona maelezo yoyote marefu unascroll fasta tu.
Nimesoma za kampuni moja nikashangaa nguvu waliyonayo juu ya pesa yako ila sikuona sehemu waliyoandika kuhusu haki waliyonayo kukutangaza au kukupiga picha.
 
Ukishaambiwa terms & conditions apply, maana yake ukishiriki umeshakubali kufuata masharti yao, sasa kama kuficha sura haikuwa miongoni mwa hizo terms & conditions zao, basi unaweza kuwashtaki kama utashinda halafu walazimishe utambulike.

Gaming rules kama ya sportpesa unapojiunga zimeweka wazi washindi wa dau kubwa kama jackpot picha zao zitatumika kwa promotion,sasa kama sheria umezisoma na ukakubali kujisajili unakwepa vipi kuonekana

Sheria zao zipo wazi kabisa, mfano sportpesa ukishinda jackpot lazima utangazwe kwahyo ukikataa umevunja kanuni zao hauwezi pata pesa ulizoshinda.

Yani usitangazwe ili waonekakane matapeli?

Kwa bongo nadhani ni ngumu kwakuwa ndio kwanza utatumika kama tangazo la biashara yao
Basi nitawaambia nawaachia kaasilimia ka ushindi wangu ili nibaki "nisiyejulikana". Kanji anavyopenda pesa hawezi kukataa
 
Reke
Shalom Shalom vijana kwa wazee, mabibi na mabwana. Amani iwe nanyi.

Nina swali fupi ila muhimu ningependa kupata mwongozo wa kisheria kwa wale wenye ufahamu wa jambo hili.

Chukulia umeshinda katika Jackpot katika Betting, lakini kutokana na sababu mbalimbali za kiusalama, ulinzi na ustawi wa maisha yako, unapendelea ushindi wako usiwekwe wazi kwa maana ya jina lako lisitangazwe au usipigwe picha.

Najua makampuni ya betting wanataka na kupendelea washindi watangazwe kwa ajili ya promotion zao ili pia wajilinde wasionekane matapeli, kwa hiyo hili nadhani wamelibana na wameliweka kwenye T&C zao.

Nadhani niliwahi kusikia kuna nchi au maeneo unaweza kufungua Kampuni au Trust ikawa mwakilishi wa kupokea pesa yako kwa wale wanaopenda kubaki "anonymous" au "asiyejulikana".

Nimeanza kusikia harufu za mashuka ya k

Nimeanza kusikia harufu za mashuka ya kimasai.
Rekebisha kwanza hilo neno "Kamari" na uweke neno "Bahati nasibu".
Hii ni kwasababu kucheza kamari ni kosa kisheria ila ukiweka neno bahati nasibu inaonekana ni biashara ambayo imerasimishwa kwa kuzingatia taratibu za kisheria za usajili, biashara ambayo inalipa kodi na kuzingatia miongozo yote ya kiserikali.
Kamari ni haramu, bahati nasibu ni halali
 
Nadhani uko sahihi. Sijui kwa nini nimelitumia maana huwa sina kawaida ya kulitumia maana huwa naona lina ukakasi.
 
ata wenye makampuni ya kamali wanajua suala la usalama wa mteja wao sa sidhani km wanaweza kukataa kitu km icho endapo utawaeleza
 
Umesahau na marafiki. Mtu anaweza kugeuka adui wakati mlikuwa mnaishi vizuri tu enzi haujawa "tajiri"
Kuna jamaa mwaka juzi alipiga mil.246 mpaka Sasa amelazimika kuuza mabasi yake madogo aliyonunua kuongeza Biashara zake za Usafirishaji. Ndugu wamekuwa tatizo kwenye Biashara zake wakiamini ana hela nyingi Sana.
 
Nalielewa vizuri hili suala. Pesa ya Bahati Nasibu ina tabia ya kukauka ghafla kwa sababu watu wanadhani haujaitolea jasho. Watu ambao wengine walikuwa wanakuchukulia poa wataibuka na shida zao na usipowapa kile wanachokuomba, au usipowapa chote wanageuka maadui zako.

Mimi suala kama hili natuma mwanasheria alimalize, kama watataka kumpiga mapicha fresh tu. Ntambatana naye kama chawa wake kumbe ndiye tajiri mwenyewe.
 
Shalom Shalom vijana kwa wazee, mabibi na mabwana. Amani iwe nanyi.

Nina swali fupi ila muhimu ningependa kupata mwongozo wa kisheria kwa wale wenye ufahamu wa jambo hili.

Chukulia umeshinda katika Jackpot katika Betting, lakini kutokana na sababu mbalimbali za kiusalama, ulinzi na ustawi wa maisha yako, unapendelea ushindi wako usiwekwe wazi kwa maana ya jina lako lisitangazwe au usipigwe picha.

Najua makampuni ya betting wanataka na kupendelea washindi watangazwe kwa ajili ya promotion zao ili pia wajilinde wasionekane matapeli, kwa hiyo hili nadhani wamelibana na wameliweka kwenye T&C zao.

Nadhani niliwahi kusikia kuna nchi au maeneo unaweza kufungua Kampuni au Trust ikawa mwakilishi wa kupokea pesa yako kwa wale wanaopenda kubaki "anonymous" au "asiyejulikana".

Nimeanza kusikia harufu za mashuka ya kimasai.
Wasionekane ni matapeli, kumbe huwa ni matapeli?
 
Mkuu unataka ubunye peke yako hilo zali? Au unaogopa walokole wenzako wanasema kamari ni dhambi?
Anaogopa watu anao wafahamu wataenda kumu-download, atashindwa kuwakatalia madhala yake 1. Watamvulugia bajeti
2. Watamzingua kurudisha pesa
 
Back
Top Bottom