Yassi_branks 21
New Member
- Jul 11, 2024
- 2
- 8
Watoto wa sikj izi kila mtu anawaza kuajiriwa tu kak, kuna dogo I used to mentor nilimuuliza anapenda kitu gani (wakati huo alikuwa kidato cha tatu kama sikosei) kaniambia Daktari namuuliza kwanini anasema ni rahisi kupata kazi 😂😂😂😂😂😂Mkuu yaani usome IT Alafu uwaze tena ajira? Are you serious kweli?
waulize kipi icho ambacho kina ajira ?nakatishwa tamaa na watu wanasema hakuna ajira
Hakuna kozi isiyokuwa na ajiraHabari zenu wapendwa
Mimi natamani nikasome Information technologies (IT) lakini nakatishwa tamaa na watu wanasema hakuna ajira
Ajira zipo kila kona ya taasisi na mtaa kikubwa ni kujiongeza na kujifunza vitu vipya kwa passionHabari zenu wapendwa
Mimi natamani nikasome Information technologies (IT) lakini nakatishwa tamaa na watu wanasema hakuna ajira
waulize kipi icho ambacho kina ajira ?
soma unachokipenda
Asante mkuuAjira zipo kila kona ya taasisi na mtaa kikubwa ni kujiongeza na kujifunza vitu vipya kwa passion
Nb:Ajira yake ni kujiajiri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndyo kwani uongo!! Ukienda kwenye mantiki halisi.Watoto wa sikj izi kila mtu anawaza kuajiriwa tu kak, kuna dogo I used to mentor nilimuuliza anapenda kitu gani (wakati huo alikuwa kidato cha tatu kama sikosei) kaniambia Daktari namuuliza kwanini anasema ni rahisi kupata kazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kila sehemu ajira ni changamoto, iwe afya, uhandisi, IT, biashara hadi sanaa. Mi nawashaurugi tu mtu achague anakoona anaweza kufanya kitu akaonekana, imagine mtoto yuko form 1 anaanza kuwaza ugumu wa ajira 😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndyo kwani uongo!! Ukienda kwenye mantiki halisi.
Dogo yuko sahihii sana, utazingatia mantiki yake.Kila sehemu ajira ni changamoto, iwe afya, uhandisi, IT, biashara hadi sanaa. Mi nawashaurugi tu mtu achague anakoona anaweza kufanya kitu akaonekana, imahine mtoto yuko form 1 anaanza kuwaza ugumu wa ajira [emoji23]