Je, ukisoma Information technologies (IT) hakuna ajira?

Je, ukisoma Information technologies (IT) hakuna ajira?

Mkuu yaani usome IT Alafu uwaze tena ajira? Are you serious kweli?
Watoto wa sikj izi kila mtu anawaza kuajiriwa tu kak, kuna dogo I used to mentor nilimuuliza anapenda kitu gani (wakati huo alikuwa kidato cha tatu kama sikosei) kaniambia Daktari namuuliza kwanini anasema ni rahisi kupata kazi 😂😂😂😂😂😂
 
Watoto wa sikj izi kila mtu anawaza kuajiriwa tu kak, kuna dogo I used to mentor nilimuuliza anapenda kitu gani (wakati huo alikuwa kidato cha tatu kama sikosei) kaniambia Daktari namuuliza kwanini anasema ni rahisi kupata kazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndyo kwani uongo!! Ukienda kwenye mantiki halisi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndyo kwani uongo!! Ukienda kwenye mantiki halisi.
Kila sehemu ajira ni changamoto, iwe afya, uhandisi, IT, biashara hadi sanaa. Mi nawashaurugi tu mtu achague anakoona anaweza kufanya kitu akaonekana, imagine mtoto yuko form 1 anaanza kuwaza ugumu wa ajira 😂
 
Back
Top Bottom