Je, Ukiwa mtumishi wa serikali ukitaka kujiendeleza kimasomo ngazi ya shahada unaruhusiwa kuomba MKOPO kutoka HESLB?

Aisee kwa hizi take home za 500k ngumu sana kumudu tuition fee ya 5.6m kwa mwaka
 
Hapo unaomba tu mkuu, na unapewa. Kazini kwetu madogo wengi tu wameomba na wamepewa.

Mwajiri wako hayamuhusu, anaweza ajue au asijue kama uneomba mkopo.
Vipi kuhusiana na kigezo no.(vi) maana nimehitimu chuo 2018.
 
Attachments

  • Screenshot_20240505-173539.png
    Screenshot_20240505-173539.png
    59.5 KB · Views: 32
Hapo siwezi kusema, ila jaribu mkuu. Ni mkopo sio msahada si utawalipa.
 
Vigezo vigumu sana siku hizi... Sisi tulikulA 100%.. miaka hiyo tukiwa watumishi wa serikali..
 
Back
Top Bottom