Tausi Mzalendo
JF-Expert Member
- May 23, 2010
- 1,470
- 722
Kwani kuchiti ni nini? Inaelekea bado hicho kinachofanyika na wengi wala siyo chiting kwa maana ya kutafuta kuridhishwa kingono.
NIONAVYO MIMI NI MCHANGANYIKO wa mambo mengi na siyo sababu moja. Kitu kimoja huleta kingine nk.
Kwa wanawake ( siwezi kuwasemea wanaume) kugeuza shingo, mwelekeo na moyo kwa mwanaume mwingine ni matokeo ya ombwe moyoni.Huwezi ukampuuza mwanamke wako kihisia - hasa za mapenzi utegemee atakaa anasononeka ndani kwa ndani milele wakati wewe kutwa unapuyanga na sketi sehemu nyingine.Itatokea siku mwanamke wako ataonwa na kupewa attention na opposite sex... hapo utarajie lolote linawezekana na mara nyingi siyo lazima kingono.
Kaeni chonjo kina baba/kaka mnaopuuza wanawake zenu nakudhani hakuna wanaowaona.Ukisema wa nini, wenzio wanasema nitampata lini.