Je ukosefu wa choo unaweza kusababisha ukosefu wa nguvu za kiume

mkundajr

Member
Joined
Jul 16, 2015
Posts
27
Reaction score
3
Kwa anayefahamu.

Nimekuwa na tatizo la kupata choo kwa muda mrefu sasa,na hata pale ninapopata huwa ni kidogo pia kigumu mno. Tangu hili tatizo limeanza ufanisi wangu kwenye uwanja wa ndoa umeshuka mno.

Kwa mwenye kufahamu sababu na tiba ya tatizo hili naomba anifahamishe,na je nikitumia dawa ya kuharisha inaweza kunisaidia?
 
Kwa anayefaham

Pole sana ,kwa kukushauri watafute wataalam wa dawa za asili wakupatie dawa ya kusafisha tumbo lako, mara nying matatizo hayo husabbabishwa na kukaa sana njaa mi mwenyewe yalinikuta nilivyopata dawa tu ikapona angalizo ukitumia hizo dawa unatakiwa uwe karibu na choo mana utaharisha mno kila la kher
 
Kwa anayefaham

Nimekuwa na tatizo la kupata choo kwa muda mrefu sasa,na hata pale ninapopata huwa ni kidogo pia kigumu mno. Tangu hili tatizo limeanza ufanisi wangu kwenye uwanja wa ndoa umeshuka mno.

Kwa mwenye kufahamu sababu na tiba ya tatizo hili naomba anifahamishe,na je nikitumia dawa ya kuharisha inaweza kunisaidia?

Pole sana hili ni tatizo moja wapo linalopelekea kukosa nguvu za kiume...

Badili ulaki wako pendelra kula mbogamboga , matunda. Na nafaka zisizo kobolewa
Info zaidi tuwasiliane PM
 
Back
Top Bottom