mkundajr
Member
- Jul 16, 2015
- 27
- 3
Kwa anayefahamu.
Nimekuwa na tatizo la kupata choo kwa muda mrefu sasa,na hata pale ninapopata huwa ni kidogo pia kigumu mno. Tangu hili tatizo limeanza ufanisi wangu kwenye uwanja wa ndoa umeshuka mno.
Kwa mwenye kufahamu sababu na tiba ya tatizo hili naomba anifahamishe,na je nikitumia dawa ya kuharisha inaweza kunisaidia?