Marekani, Ufaransa na Ujerumani ziliamua kutuma kifurushi kingine cha silaha nchini Ukraine.
Tusichukulie sentensi hili kirahisi maana wakati huu tunaweza kuzungumzia kuanzishwa kwa mifumo ya kubadilisha mchezo(game-changing systems).
Pichani ni German Armored Infantry (Panzergrenadiere) wakiwa na gari la kivita la kijeshi la "Marder".
Na hii labda ni mwanzo tu, kuna mengi zaidi yajayo. Mara tu silaha hizi zitakapokuwa kwenye uwanja wa vita, Vikosi vya Wanajeshi wa Ukraine vitaweza kufanya kile kinachoitwa operesheni za vita vya pamoja vya silaha (combined arms warfare operations), kwa mara ya kwanza kabisa:
Mifumo yote kuu ya silaha unayohitaji kwa shambulio la kivita lenye ufanisi sasa inapatikana kwao.
Sasa kila gari ambalo Jeshi la Ukraine linahitaji kufanya operesheni ya kivita ya pamoja "kwa ufanisi mkubwa" lina ngao na silaha nzito . Hii ina maana wanaweza kufanya kazi pamoja.
Tunaweza kutarajia operesheni kuu za mapigano zinazohusisha magari haya mwishoni mwa Machi au Aprili. Kulingana na kile tumeona hadi sasa kwenye uwanja wa vita, tunaweza kutarajia opresheni hizi kuwa na mafanikio makubwa.
Na hakuna chochote ambacho Warusi wanaweza kufanya juu yake. Hawana njia za kukabiliana na aina hii ya mashambulizi. Wanachoweza kufanya ni kutumaini kwamba Wamarekani na Wajerumani hawataamua kutoa mizinga yao ya kisasa ya Vita Kuu (Abrams na Leopard 2) kwa Ukraine. Hili likitokea, nisingependa kuwa mmoja wa wanajeshi wa urusi waliopo Donetsk au Crimea.
Njia pekee ya amani ni kuisukuma Urusi kutoka Ukraine. Kushindwa kwa Urusi, kesi ya uongozi wa kisiasa na kijeshi wa Urusi kwa uhalifu wa kivita na ulipaji wa uharibifu—haya ni muhimu kwa amani.
Kujibu swali: Ukraine haipotezi vita hii. Ulimwengu uko upande wao na kwa pamoja, watashinda.
_______________
Dunia ingekuwa mahali hatari zaidi ikiwa Urusi angepata anachotaka kupitia matumizi ya nguvu za kijeshi. "Iwapo Urusi ingeshinda vita hivi, ingekuwa na uthibitisho kwamba vurugu na ubabe vinafanya kazi na angeendelea kuvamia majirani zake. Kisha nchi nyingine kama china,north Korea, Iran n.k zingeweza kufuata kile anachofanya urusi.
_________________

- magari 50 ya mapigano ya Bradley yaliyotengenezwa Marekani (IFV),
- IFV 40 za Ujerumani “Marder”,
- na idadi isiyojulikana ya AMX-10 RC ya Ufaransa.
Pichani ni German Armored Infantry (Panzergrenadiere) wakiwa na gari la kivita la kijeshi la "Marder".
Na hii labda ni mwanzo tu, kuna mengi zaidi yajayo. Mara tu silaha hizi zitakapokuwa kwenye uwanja wa vita, Vikosi vya Wanajeshi wa Ukraine vitaweza kufanya kile kinachoitwa operesheni za vita vya pamoja vya silaha (combined arms warfare operations), kwa mara ya kwanza kabisa:
Mifumo yote kuu ya silaha unayohitaji kwa shambulio la kivita lenye ufanisi sasa inapatikana kwao.
- Mizinga (T 72 nk. pamoja na AMX 10)
- IFVs (Marders na Bradleys)
- Mifumo ya Kupambana na Anga (Gepards ya Ujerumani)
- Artillery (Panzerhaubitze 2000 na wengine)