Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Hoja haieleweki kama hakuna matumizi sahihi ya maneno.Changia hoja kama umeielewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hoja haieleweki kama hakuna matumizi sahihi ya maneno.Changia hoja kama umeielewa.
Hapo USA kuondoa majeshi Afghanistan ili adili na urusi Ukraine umenipanga kaka!!!Unajua USA aliondoa alisitisha operasheni za kijeshi lini nchi ni Afghanistan?????Na vita vya Ukraine vilianza lini kaka?????Misaada ya magharibi, kwasasa, ukraine anapokea misaada mara dufu kuzidi hata israel, interm of cash na silaha za kawaida, intelligence yote ya movements za Russia anazipata toka US,, kuna ndege za upelelezi za US Riverjoint, kila siku zinanyanyuka blacksea, zikichukua picha, kuna satelites,, ukraine anapata targeting intelligence wapi apige kuna silaha au kuna magari vita ya russia etc,,
US aliondoa majeshi afaghnistan ili abaki kudeal na Russia hapo ukraine
Wewe unachangia kishabiki sio kitaalamu kakaInatoka NATO, kwani wewe huoni vifurushi vya silaha plasi wanajeshi. Russia anapigana na NATO na leo huko Soledar in Donestk region, NATO wamechezea kichapo cha maana mpaka wamekubali kuachia mji wa Soledar
4Wewe unachangia kishabiki sio kitaalamu kaka
Marekan alishajua nin kitatokea mda Sana kwakua wao ndio walikua wakimuandaa ukrain tangu 2014,hivyo alichokifanya Ni kutime kujiondoa mapema Afghanistan ili ajipe mda wa kudili na Vita alivyojua vitatikea hapo mbele,Hapo USA kuondoa majeshi Afghanistan ili adili na urusi Ukraine umenipanga kaka!!!Unajua USA aliondoa alisitisha operasheni za kijeshi lini nchi ni Afghanistan?????Na vita vya Ukraine vilianza lini kaka?????
Kaka unaongea kitaalamu au kishabiki kaka au kiafidhina???Marekan alishajua nin kitatokea mda Sana kwakua wao ndio walikua wakimuandaa ukrain tangu 2014,hivyo alichokifanya Ni kutime kujiondoa mapema Afghanistan ili ajipe mda wa kudili na Vita alivyojua vitatikea hapo mbele,
Siwezi kuchangia hoja kilaisi laisi mkuuChangia hoja kama umeielewa.
Mkuu propaganda za west zimekuharibu hakuna taifa lililoweza kumvisha paka kengele kama urusi hata hao Nato wanashangaaRussia inapigana vita huku imefungwa kamba za mikono Kwa economic sanctions ebu angalia jinsi zile mali na fedha za oligarchy zipo freeze na pesa zote zinaenda Ukraine...vita hii huitaji degree bachelor kujua kuwa Russia anapigana na upepo Tu na hawezi kushinda.
Russia agepata ushindi kama angekuwa anapigana na nchi za Asia au Africa lkn Kwa nchi za ulaya hiyo haitatokea kamwe.
Bila msaada wa westerners hii vita ingeisha ndani ya wiki 3 mpaka kuiteka Kiev Ukraine ndiyo maana tunaona bado Hali ngumu Kwa upande wa Russia hakuna achievement yeyote mpaka SASA zaidi ya kupoteza maisha ya Askari wake, winter season ilivyoanza watu walisema Ukraine inaenda kufa Kwa baridi na ulaya nzima lkn mpaka Leo watu wanasonga mbele tu