Je, Ukraine inapoteza vita? Nchi za NATO zinavuja damu? Tutarajie Shambulio kubwa jipya kutoka kwa Warusi?

Je, Ukraine inapoteza vita? Nchi za NATO zinavuja damu? Tutarajie Shambulio kubwa jipya kutoka kwa Warusi?

Misaada ya magharibi, kwasasa, ukraine anapokea misaada mara dufu kuzidi hata israel, interm of cash na silaha za kawaida, intelligence yote ya movements za Russia anazipata toka US,, kuna ndege za upelelezi za US Riverjoint, kila siku zinanyanyuka blacksea, zikichukua picha, kuna satelites,, ukraine anapata targeting intelligence wapi apige kuna silaha au kuna magari vita ya russia etc,,
US aliondoa majeshi afaghnistan ili abaki kudeal na Russia hapo ukraine
Hapo USA kuondoa majeshi Afghanistan ili adili na urusi Ukraine umenipanga kaka!!!Unajua USA aliondoa alisitisha operasheni za kijeshi lini nchi ni Afghanistan?????Na vita vya Ukraine vilianza lini kaka?????
 
Marekan alishajua nin kitatokea mda Sana kwakua wao ndio walikua wakimuandaa ukrain tangu 2014,hivyo alichokifanya Ni kutime kujiondoa mapema Afghanistan ili ajipe mda wa kudili na Vita alivyojua vitatikea hapo mbele,
 
Kaka unaongea kitaalamu au kishabiki kaka au kiafidhina???
 
Russia inapigana vita huku imefungwa kamba za mikono Kwa economic sanctions ebu angalia jinsi zile mali na fedha za oligarchy zipo freeze na pesa zote zinaenda Ukraine...vita hii huitaji degree bachelor kujua kuwa Russia anapigana na upepo Tu na hawezi kushinda.
Russia agepata ushindi kama angekuwa anapigana na nchi za Asia au Africa lkn Kwa nchi za ulaya hiyo haitatokea kamwe.

Bila msaada wa westerners hii vita ingeisha ndani ya wiki 3 mpaka kuiteka Kiev Ukraine ndiyo maana tunaona bado Hali ngumu Kwa upande wa Russia hakuna achievement yeyote mpaka SASA zaidi ya kupoteza maisha ya Askari wake, winter season ilivyoanza watu walisema Ukraine inaenda kufa Kwa baridi na ulaya nzima lkn mpaka Leo watu wanasonga mbele tu
Mkuu propaganda za west zimekuharibu hakuna taifa lililoweza kumvisha paka kengele kama urusi hata hao Nato wanashangaa
Kwajinsi wanajeshi wao wanavyo chinjwa huko Ukraine.tuache ushabuki kusema ukweli
urusi ni taifa kubwa lenye uwezo kiuchumi na tenchnolojia ya hali ya juu ya kijeshi
juzi Rais Putin katoa meli ya kivita yenye uwezo wa kurusha hypersonic missile aina Zircon (unaweza ku Google) yenye uwezo wa kupiga sehemu yoyote ya dunia kwa muda wa saa moja ina speed mara nane ya sauti na inauwezo wa kutungua ndege za kivita meli za kuvita drones n.k na hakuna air defense system kwa sasa si za Nato wala Ukraine zenye uwezo wa kuyazua makombora hayo na meli hiyo kwa mara ya kwanza Putin kaitoa ikafanye operation ukrain
kwaiyo mrusi ana uwezo wa kujipigia popote anapotaka ndani na nje ya Ukraine!west wakitaka hii vita iishe wamwambie zelensky akae na putin waongee yaishe ila kama west wanadhani kwa kumpa silaha zelensky ndo wataushinda urusi kwenye uwanja wa vita hilo wasahauu .NARUDIA TENA WASAHAU.
 
Back
Top Bottom