Je, ukubwa uliopitiliza wa Grigori Angels pamoja na maumbo ya ajabu ajabu ya Malaika siyo matokeo ya Evolution iliyotokana na hali ya hewa ya huko?

Je, ukubwa uliopitiliza wa Grigori Angels pamoja na maumbo ya ajabu ajabu ya Malaika siyo matokeo ya Evolution iliyotokana na hali ya hewa ya huko?

Mgambilwa ni mntu

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2017
Posts
2,869
Reaction score
3,187
IMG_9779.JPG

Malaika wakimpandisha Enoch mbinguni.

Kulingana na Kitabu cha Enoch, ambacho kiliondolewa kwenye Vitabu vya Biblia, kinaeleza kuwa, Enoch alichukuliwa na Mungu kwenda mbinguni na alipokuwa amefika katika Mbingu ya tano, aliwaona Malaika aina ya Grigori (Watchers) na kuwaeleza kuwa, walikuwa na maumbile makubwa maradufu kuliko majitu (Giants) waliokuwa hapa duniani.
IMG_0308.jpg


IMG_9801.JPG

Linganisha kimo cha sasa cha Mwanadamu (futi 6) dhidi ya Giants wa awali (futi 36). Wote hao ni cha mtoto kulinganisha na Grigori Angels.

Ndiyo maana wana wa Malaika (watchers) na wanadamu walikuwa na maumbo makubwa. Inaelezwa kuwa, Giants hao wa mwanzoni walikuwa na maumbo makubwa kuliko waliokuja kuzaliwa baadaye. So, kadri muda ulivyopita, ndivyo ukubwa wa Giants ulivyoanza kupungua (kutokana na kuchanganya zaidi damu ya kibinadamu). Hivyo, akina Goliath (giant aliyeuawa na Daudi) walikuwa tayari wameshapungua kiukubwa kulinganisha na Giants wa mwanzoni, ndiyo maana alikuwa na futi 18 pekee.

Kulingana na baadhi ya vyanzo, kuna watu waliowahi kwenda ndani ya uso wa Dunia kupitia North Pole ambako huko chini walikuta viumbe wakubwa sana kama Giants. Miti ya huko ilikuwa mikubwa na mirefu maradufu. Kila kitu cha huko kilikuwa kikubwa zaidi kutokana na reliability na stability ya hali ya hewa ya huko chini ya ardhi. Ndiyo maana hata duniani, maeneo yote yenye reliable na stable climate yana watu smart na wenye afya njema, japokuwa bado Dunia yetu haiko that much stable.
IMG_9938.jpg

Mchoro wa Giants waliokutwa ndani ya uso wa Dunia. Hao wadogo ndio binadamu. Majamaa yanalazimika kuinama sana ili kutuona usoni.

Vilevile, gwiji wa Jiografia duniani, Mjerumani, Johann Carl alikiri wazi kuwa kwa namna Dunia inavyo-bahave lazima kuna hole ndani lenye uwazi kwenye Ncha zake.

IMG_9889.jpg


Kulingana na tafiti za kisayansi, katika Galaxy ya Milky Way pekee, kuna sayari zaidi ya bilioni 500 zenye mazingira yanayofaa kwa makazi. Je, kuna sayari zenye mazingira na hali bora kuliko Dunia yetu ambayo inawezesha viumbe vilivyoko huko kushamiri sana kuliko sisi binadamu wa duniani?

Ama ni sisi ndio tunakosea: labda mazingira yanayofaa kwa viumbe wengine nje ya Dunia ni tofauti kabisa na mazingira yanayotufaa sisi wanadamu. Wakati wanyama wanahitaji oxgen na mimea carbon dioxide, inawezekana viumbe nje ya Dunia hawavihitaji hivyo vyote.

Vitabu vitakatifu vinaeleza kuwa, Malaika wameumbwa kwa moto - je, hiyo inamaanisha kuwa, wanaweza wakawa wanaishi na hata kwenye nyota (za moto) na siyo kwenye sayari tu?

Je, siyo kweli kuwa, eneo wanaloishi ndiko lilisababisha wewe na maumbile makubwa kutokana na kuwepo kwa hali ya hewa nzuri zaidi kuliko ya duniani?

Kumbuka kuwa, Enoch alitembezwa mbinguni kuanzia katika Mbingu ya kwanza hadi Mbingu ya 10. Katika akili ya kawaida, ni wazi kutoka mbingu moja hadi nyingine, kuna uwezekano wa uwepo wa umbali mrefu tena wa hata kutoka galaxy moja kwenda galaxy nyingine (just asssumption though).

IMG_9780.jpg
 
Kwenye picha hao washikaji wenye mabawa ndo malaika? Naona washikaji ni weupe lakin kama ingekuwa maada ina muhusu shetan ungeweka watu weus
Hapo kuna shida nyingine kubwa sana. Sitaki kuliongelea hili kwa sasa but naliandalia timing tu naendelea kukusanya data, kuna siku nitalileta hili la Malaika kuwa weupe tu muda wote.
 
Kuna baadhi wamekuwa hawaamini juu ya uwepo wa Giants waliopitiliza. Hebu angalia hapa uvumbuzi wa mafuvu haya na miaka yalipovumbuliwa.

Likubwa kabisa (futi 36) ni lile lililovumbuliwa huko Carthage (Tunisia) na lingine huko Bosphorus (Turkey).

IMG_9802.JPG
 
Back
Top Bottom