Je, ukubwa uliopitiliza wa Grigori Angels pamoja na maumbo ya ajabu ajabu ya Malaika siyo matokeo ya Evolution iliyotokana na hali ya hewa ya huko?

Mwenyewe sikuweza kuielewa hiyo concept but kuna uwezekano mwandishi ana uhusiano na black hivyo aliingiza mahaba. Ni ngumu kuona Muisraeli wa kipindi hicho awe black.
Mkuu Henoko hakuwa muisrael.... Kibiblia Henoko ni mtu wa nane baada ya Adam ila waisrael wameanza kutajwa miaka zaidi ya 2000 toka Enoko Afe so hakuna namna anaweza kuwa Muisrael.

Sababu ya Henoko kuwa mweusi ni kutokana na hicho kitabu kutambuliwa na kanisa la Ethiopia Tawahedo Orthodox ambalo ndio kanisa pekee linalotumia kitabu cha Henoko kama part ya Biblia kamili hivyo roots zake za Ethiopia ndio zinafanya Henoko wamchore akiwa mweusi.

Sababu ya Pili kitabu cha Henoko kinamkariri Henoko mwenyewe akielezea uzao wa Nuhu ambapo mjukuu wake yake alipozaa mtoto MWEUPE peee yaani akapigwa na butwaa akadhani ni mtoto wa malaika (Mnefili) na sio wake hivyo akakimbia hadi kwa Methuselah kumueleza kisa hiki na ikawa utata sana hadi alipokuja kuamini ni mwanae so wengi wakatafsiri kwamba hapa ndio uzao wa wazungu ulipoanzia hivyo kuanzia methuselah mpaka Henoko hadi Adam walikuwa black watupu kwa sababu hii ndio maana picha nyingi za Henoko wanamuweka kama black.

NB: Mkuu napendaga mada zako sana za wanefili natarajia siku moja uje na mada kuhusu wanefili waliishia wapi na kama wapo leo ni wapi.

Cc theriogenology
 
Umeelezea vyema na kitaalamu sana. Kingekuwa kitabu kingine ndicho kimeeleza hayo nisingekubali bali nakubaliana na ufafanuzi wako moja kwa moja coz umetumia za Enoch mwentewe. Nimekumbuka kweli kuwa, watu wa mwanzoni kwenye Biblia hawakuwa Waisrael na kwamba Waisrael walianza baada ya Ibrahim ambaye naye hakuwa Muisrael kuamriwa na Mungu kuhama Nchi yake ya Ur (Iraq) kuelekea eneo la Canaan (Palestine/Israel/Jordan) ambalo aliahidiwa na Mungu kuupa uzao wake utawale.

In fact uzao wa Israel ulianzia kwa mtoto wa Isaka, aitwaye Yakobo aliyemlaghai baba yake na kupata baraka ambazo zilikuwa zimepangwa kupewa na Isaka kwa mwanaye mkubwa Esau. Huyu Yakobo ndiye aliyepewa baraka na Malaika kwa kumuita Israel. So, wale watoto 12 wa Israel (Yakobo) ndio waliokuja kuwa makabila ya Waisrael walipookolewa kutoka Misri na Mussa.
 
Back
Top Bottom