Je, ukweli uko wapi kuhusu IEBC?

Joined
Oct 19, 2016
Posts
86
Reaction score
35
Naombeni waofuatilia matokeo ya uchaguzi Kenya,je! Wameanza kuanza kuhakiki zile form ambazo Mh Raila alidai haijafanyiwa kazi?na hizo zilizopelekwa tume ya uchaguzi ni kopy au original?na matokea ikoje sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Magu was Kenya ni kituko. Watu wanajiuliza hana washauri was kisheria? Labda ni yale yale ya kusigina katiba na sheiia?
 
Naombeni waofuatilia matokeo ya uchaguzi Kenya,je! Wameanza kuanza kuhakiki zile form ambazo Mh Raila alidai haijafanyiwa kazi?na hizo zilizopelekwa tume ya uchaguzi ni kopy au original?na matokea ikoje sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
imefanyiwa kazi ndio wanamalizia fomu kama 17,000 zilizobakia. na matokea haya tofauti. angalia Citizen etc wanaonyesha kila hatua. Kwa hiyo Raila kabwagwa.
 
imefanyiwa kazi ndio wanamalizia fomu kama 17,000 zilizobakia. na matokea haya tofauti. angalia Citizen etc wanaonyesha kila hatua. Kwa hiyo Raila kabwagwa.
Raila abwagwe au ashinde cha msingi sheria za uchaguzi ziwe zimezingatiwa zinazotaka form Ndio zitumike kuhesabu na kujumlisha matokeo. Mimi binafsi zoezi hili likikamilika Kama mtanzania nitampongeza yoyote aliyeshinda awe odinga au Kenyatta. Mimi ni mmojawapo niliyekataa uhuni wa tume Ya uchaguzi kenya kutangaza matokeo bila kuwa na form Za matokeo kutoka vituoni. Yeyote akishinda To me it is OK as Long as election laws walizojiwekea zimezingatiwa .watanzania tumechoka kupokea wakimbizi wa nchi zinazotuzunguka ndio maana binafsi nilikuwa mkali kuwa tume ya uchaguzi kenya iache ujinga itangaze matokeo based on matokeo Ya vituoni yaliyosainiwa na mawakala wa vyama. Hilo likimalizika sina shida yeyote atakayeshinda nitampongeza awe raila au Kenyatta na Niko Tayari kushea shampeni ya pongezi na yeyote
 
Unashangilia nchi za watu, ila huku MACCM wenzio wakibaga husemi neno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…