Raila abwagwe au ashinde cha msingi sheria za uchaguzi ziwe zimezingatiwa zinazotaka form Ndio zitumike kuhesabu na kujumlisha matokeo. Mimi binafsi zoezi hili likikamilika Kama mtanzania nitampongeza yoyote aliyeshinda awe odinga au Kenyatta. Mimi ni mmojawapo niliyekataa uhuni wa tume Ya uchaguzi kenya kutangaza matokeo bila kuwa na form Za matokeo kutoka vituoni. Yeyote akishinda To me it is OK as Long as election laws walizojiwekea zimezingatiwa .watanzania tumechoka kupokea wakimbizi wa nchi zinazotuzunguka ndio maana binafsi nilikuwa mkali kuwa tume ya uchaguzi iache ujinga itangaze matokeo based on matokeo Ya vituoni yaliyosainiwa na mawakala wa vyama. Hilo likimalizika sina shida yeyote atakayeshinda nitampongeza awe raila au Kenyatta.