Je ulaji wa hii Ist AWD upo sahihi?

Je ulaji wa hii Ist AWD upo sahihi?

Status
Not open for further replies.
Gari inayotoka Japan mara nyingi pale kwenye mlango wa dereva yanapokaa maandishi ya rim na spare tairi kama gari ilifanyiwa service utaona hapo hata aina ya oil iliowekwa na ilikua na km ngapi pia pale mbele kwenye timing belt kama ilikua replaced utaona imeandikwa replaces at km xxxxx kwaio usifanye assumption wewe fanya service mkuu pia unatakiwa ujue gari ilishatembea umbali fulani kuna vitu vinatakiwa vibadilishwe..vinaitwa service kit...hivyo hua nashangaa mtu anajidai ooh nina Vitz, Passo, IST matumizi madogo etc...yani ukishamiliki gari lazima mfuko utoboke kuliweka kwenye shape yake.
Sawa mkuu
 
Tatizo mihemko ya vijana na kujiconsole kunawaponza
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom