Anza wewe kutuambia ulivyoanza.....Habari ndugu zangu
Nianzia hapa ivi unakumbuka katika harakati zako za kuanza biashara,ujasiliamali,upambanaji ulianza vp na ni changamoto gan unayoikumbuka ilikupunguza nguvu ila hukukata tamaa mpaka mungu alipo kusimamisha imara.
tupeane feedback ili tuanaonza tujipe tumaini la kutokukata tamaa kama vijana
KARINU SANA
Kumbe hii thread inahusu mademu.....una siri sanaMm Sina demu bhn