Je?ulianzaje

Je?ulianzaje

majam19

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2024
Posts
900
Reaction score
971
Habari ndugu zangu
Nianzia hapa ivi unakumbuka katika harakati zako za kuanza biashara,ujasiliamali,upambanaji ulianza vp na ni changamoto gan unayoikumbuka ilikupunguza nguvu ila hukukata tamaa mpaka mungu alipo kusimamisha imara.
tupeane feedback ili tuanaonza tujipe tumaini la kutokukata tamaa kama vijana
KARINU SANA
 
Anza wewe kutuambia ulivyoanza.....
 
Nlichukua mkopo ili ninunue gari kupiga mahesabu hela ya TRA nkiagiza gari nkaona Iko sawa na gharama za gari na sitabakiwa hata na mia ya kula Bata nkahairisha sikununua gari nkatoa milioni nane nile Bata iliyobaki nkapeleka kwenye biashara hiyo biashara Kuna Malaya nlikutana nae pale kisuma 5g ndo danga lake lilikiwa linafanya akanishauri na Mimi niifanye inalipa basi baadae ya kutoa milioni nane ya kulia Bata iliyobaki yote nkaitia kwenye hiyo biashara kwa msaada wa huyo Malaya akinisaidia kusimamia japo nlikua Sina Imani lakini ndani ya miezi minne hela ya mtaji ikawa isharudi nkasema siichukui iendelee kukuza biashara mpaka Sasa namshukuru biashara imesimama.

Changamoto ni chache sanasana bandarini pale ila mambo fresh
 
Back
Top Bottom