Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Member mtaalamu wa kuchonga srediMaana yajfexpert member ni ipi
Kule kama huna nondo we.soma.kimyakimya kama mgeni upate madini japo yote.sio ya kuamini hasa UWEPO wa.MUNGU.kule kuna.MASHETANI HASAA[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] So dogo kule achana napo jikile MMU[emoji23][emoji23][emoji23]jukwaa kama intelligence na great thinker lazima uwe na nondo za kutosha kabisa[emoji28][emoji28][emoji28]
Kasie
[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756]Kasie
vipi mkuuHahahah
πππππMember mtaalamu wa kuchonga sredi
uwa na pita kimya kimya maana mada za kule ni kisangaππππKule kama huna nondo we.soma.kimyakimya kama mgeni upate madini japo yote.sio ya kuamini hasa UWEPO wa.MUNGU.kule kuna.MASHETANI HASAA[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] So dogo kule achana napo jikile MMU[emoji23][emoji23][emoji23]
miaka mingi sana mimi mwenyewe awali nilikuwa msomajiMi nimepata hiyo nafkiri ni 2017 lakini nimejiunga humu 2013 tena january. Wala haikunipa shida kuwa memba wala sinior coz napenda sana kusoma more than kuandika. Mi ni mvivu kupost imagine since 2013 mpk leo nna message 847 π¬
utakuwa tu mkuu mda ukifikaSaivi natamani kuwa PLATINUM Member aisee
Maxence Melo na Moderator naombeni vigezo isiwe kulipia tu[emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji1317][emoji10][emoji40]utakuwa tu mkuu mda ukifika
ongera mkuu wangine ni mwaka sasa ndo tunapata nazani sababu ya kuwa wasomaji tuBaada ya muda mfupi wa kujiunga...