Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
Nilikuwepo ila sijayapitia hayo yote...
Mi born Mbinga pure kabisa...Mh maybe
Ngoja nisibishe ukute nawewe ni born nje huko una experience labda
Smart911 njoo unisaidie hapa nimekwama hapa
Enzi za kuchoma nywele lolKulaza nywele ndefu kwa pasi ya mkaa
Mi born Mbinga pure kabisa...
Hapana banaa... chio huko, ntu na ntu ni Ntwara.... Mbinga ipo mkoa wa Ruvuma...Khakhaakhaaaaa
Hivi huko ndo kuna ntu na ntu ee??
Chamaki nchanga ndohuko??
Ahaa ok huwa nachanganya songea ruvuma na mtwaraHapana banaa... chio huko, ntu na ntu ni Ntwara.... Mbinga ipo mkoa wa Ruvuma...
Songea ni moja ya wilaya za mkoa wa Ruvuma... kuna mikoa, hakuna wilaya yenye jina la mkoa, na watu inawachanganya sana.... mfano Ruvuma, Dar es Salaam, Kilimanjaro etcAhaa ok huwa nachanganya songea ruvuma na mtwara
Nimekupata
Umewahi wekewa kioo chini mkiwa mstalini?? nilidakwa siku mojaEnzi za Sket ya shule primary kushona kwa vitambaa vya tetroni nasio koshbo za kileo lol
Pia Kulikua na mavitambaa fulani hivi magumuuu hata pasi upigeje hayashiki
Nakuja unifundishe unavyojua
Ntakufundisha hii yote kwa kiswahili unanifundisha vyakule kwa kichina kina xhida xha xhuu
Wee andaa muda tu michezo haihitaji hasira lakini
Umewahi wekewa kioo chini mkiwa mstalini?? nilidakwa siku moja
Enzi zao hizo, huku wakiwa na vibegi vya sports na slang za kinyamwezi.. no yes yes come again... etc etc... yeah yeah...
Hahahaha... acha ach acha acha kabisa...
# Ssshhhh ongea kwa kunong'ona #
Ni kweli Kuna watu hawayajui kabisa hayo
Hasa wale wa kishua wale au wale waliozaliwa manchi makubwa kubwa huko wakakulia na kusomea huko
Labda nao waje watupe michezo ya kitoto / kishule / ya kishua yahuko nchi za watu nasi tujue
Smart911
Safi sanaKho' kho' kho' kwenye summer na winter... Winter ni kujifunika mpaka meno, summer ni mwendo wa vichupi tu... kwenye shule ambazo hamvai sare za shule, mkivaa sare ni nguo za michezo... kwenye outdoor and indoors sports... after school mnaenda kujikusanya kwenye viwanja vya mitaa vya basketball mki show off... mkijulikana wewe na fulani mna date kila mtu respect mpaka mki breakup... ukifanikiwa kumkiss mwanamke ndiyo ... and it remains like that..
Wenye kupenda turth and dare games... unaambiwa useme ukweli wako wowote au ufanye chochote kwa vitendo... mchezo pendwa mwingine ni spinning the bottle huu ndiyo balaah... ukileta rafiki wa kike nyumbani wazazi wanachukulia ni rafiki na msishangae mkajikute kwenye nyumba mmebaki peke yenu... same kwa mwanamke akipeleka rafiki wa kiume...
# Najisemea tuu... hahahaha nacheka kwa dhaaaraau...#
cc: mahondaw