Kho' kho' kho' kwenye summer na winter... Winter ni kujifunika mpaka meno, summer ni mwendo wa vichupi tu... kwenye shule ambazo hamvai sare za shule, mkivaa sare ni nguo za michezo... kwenye outdoor and indoors sports... after school mnaenda kujikusanya kwenye viwanja vya mitaa vya basketball mki show off... mkijulikana wewe na fulani mna date kila mtu respect mpaka mki breakup... ukifanikiwa kumkiss mwanamke ndiyo ... and it remains like that..
Wenye kupenda turth and dare games... unaambiwa useme ukweli wako wowote au ufanye chochote kwa vitendo... mchezo pendwa mwingine ni spinning the bottle huu ndiyo balaah... ukileta rafiki wa kike nyumbani wazazi wanachukulia ni rafiki na msishangae mkajikute kwenye nyumba mmebaki peke yenu... same kwa mwanamke akipeleka rafiki wa kiume...
# Najisemea tuu... hahahaha nacheka kwa dhaaaraau...#
cc:
mahondaw