Safi sana
Nje nje ni nje tu
kibongo bongo utoto ulete mtu eti mbakie
Wawili tu chumbani hizo bakora zakeeeh
Nanong'ona kama si kufunga kabisa domo langu
Tutaanza mchezo mmoja baada mwingine
Si unakumbuka nilikwambia nitaanza na wapi wapi wapi na kumalizia na wapi??
Unakumbuka??
Safiiiiiii sana Super dear kumbe unajua
Na my clear bag ukiwa nayo Wee mjaa
Enzi hizo madaftari kwenye Rambo mweh ukiwa na my clear bag utaweka karibia nusu darasa zima madaftari
Wale mnaokaa nao mitaa ya karibu wooote wanaweka madaftari kwako afu wanabeba kwa zamu
Wewe hata huangaiki kubeba
Nimeisoma humu humu hichi kipindi nikaona imeandikwa mwaka 2014
ilikuwa noma hasa mkipaka kwenye madawati ya wasichanaUkjsahau unakuwasha na wewe
ha ha ha upupu si mchezo mpaka ukapake majivu wanasema ndio unaacha kuwashaNilihi kupaka upupu kwenye dawati la mwalimu Karuta pale Buzuruga Shule ya msingi, nyakato mwanza......
Nakumbuka yule mwalimu alikua mkali kupita kiasi, kisha alikua akiingia class lazima akinje mikono ya shati lake, kisha anakaa kwenye dawati la mwalini na kuegesha mikono yake pali juu ya meza ya dawati.
Skuhiyo nilipo paka upupu pale..... Mwalimu aliwashwa vibaya mno, kilicho tokea baada ya kubainika ni siri yangu......
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nilihi kupaka upupu kwenye dawati la mwalimu Karuta pale Buzuruga Shule ya msingi, nyakato mwanza......