Je Ulikueko enzi zetu?

Je Ulikueko enzi zetu?

Safi sana
Nje nje ni nje tu
kibongo bongo utoto ulete mtu eti mbakie
Wawili tu chumbani hizo bakora zakeeeh

Nje ni nje tu... tunaita wana mila potofu lakini huwezi kukuta magonjwa ya kijinga jinga kama huku kwetu... tunaita hawana maadili ni kwa sababu ya tunavyoona kwenye Tv... lakini hali halisi haipo vile.. kila mtu ana mind his/her own business...

Kuwa na rafiki wa kike ni jambo la kawaida sana ndiyo maana hata siyo watumwa wa ngono kama sisi huku... huku mkiachwa wawili tu lazima mtahakikisha mpaka mnanyonyoana...
 
Nanong'ona kama si kufunga kabisa domo langu

Tutaanza mchezo mmoja baada mwingine
Si unakumbuka nilikwambia nitaanza na wapi wapi wapi na kumalizia na wapi??
Unakumbuka??

Hahahaha... daah husahau tuuu... ngoja nicheke tena... hahahaha... daaah unapenda sana...

Kuna sebuleni, chumbani, store, bafuni, nyuma ya nyumba na jikoni... hide and seek... popote utakapopatwa nii.... ulisema utaanzia wapi tena vile? Nyuma ya nyumba...
 
Safiiiiiii sana Super dear kumbe unajua

Na my clear bag ukiwa nayo Wee mjaa
Enzi hizo madaftari kwenye Rambo mweh ukiwa na my clear bag utaweka karibia nusu darasa zima madaftari
Wale mnaokaa nao mitaa ya karibu wooote wanaweka madaftari kwako afu wanabeba kwa zamu
Wewe hata huangaiki kubeba

Hahaha... My clear bag... chini umepiga raba mtoni au mbwa shoes... siku hizi kuna begi zinaitwa shangazi kaja unazijua?
 
Wee Ushimen Kuna wazungu ujue
Watu born Washington huko Bangkok huko wamekulia nje huko kwenye nchi kubwa kubwa huku wamejikuta tu kwa bahati mbaya watayajulia wapi haya???

Haya yanatuhusu sisi waswaz na Tz yetu

Smart911

Sssshhhh bhana... kuwa na roho ya kaba super dear.... hehehehe... yeah haya yanatuhusu sisi waTz tu... mahondaw
 
Nilihi kupaka upupu kwenye dawati la mwalimu Karuta pale Buzuruga Shule ya msingi, nyakato mwanza......
Nakumbuka yule mwalimu alikua mkali kupita kiasi, kisha alikua akiingia class lazima akinje mikono ya shati lake, kisha anakaa kwenye dawati la mwalini na kuegesha mikono yake pali juu ya meza ya dawati.
Skuhiyo nilipo paka upupu pale..... Mwalimu aliwashwa vibaya mno, kilicho tokea baada ya kubainika ni siri yangu......
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
ha ha ha upupu si mchezo mpaka ukapake majivu wanasema ndio unaacha kuwasha
 
Back
Top Bottom