"Je,ulikuwa unalijua hili?"

"Je,ulikuwa unalijua hili?"

Joined
Jun 29, 2013
Posts
38
Reaction score
1
"Asilimia kubwa ya Members humu "JF"elimu waliyoipata haijawasaidia!!?.Mtu unaomba ushauri but unachoambulia ni Matusi na Vidonge/Makavu kavu,Sasa jamani mi nikikuuliza swali kama hunajibu sibora ukafunga bakuli lako tu,kwani utapungukiwa na kitu gani?
 
Kwi kwi kwi teh teh teh.

JF is never boring - The Boss
 
Last edited by a moderator:
:Laugh but pained guy.

Pole sana, JF ina member zaidi ya 142,000, usitegemee wote watakujibu upendavyo, inabidi ustahamili na uchukuwe yale majibu ambayo unaona yana manufaa kwako. Mengine potezea au anzisha nao ligi.
 
Pole sana, JF ina member zaidi ya 142,000, usitegemee wote watakujibu upendavyo, inabidi ustahamili na uchukuwe yale majibu ambayo unaona yana manufaa kwako. Mengine potezea au anzisha nao ligi.

"Nikianzisha nao ligi,nahisi watajiuzulu JF!"
 
mbona wamcheka sheikh? msaidie

Imebidi nicheke, maana huyo mwenzetu hakujuwa kuwa JF hata Mawaziri wanajibiwa kiajabu-ajabu lakini wanayapokea tu, apitie nyuzi ya Mama Tibaijuka ajionee.
 
"Nikianzisha nao ligi,nahisi watajiuzulu JF!"

Unafikiri wanachokoza kwanini? wanataka ligi tu. Hii ni barza kama barza nyingine yoyote ya jobless, kuna wa kila aina humu.

Usichukulie kila kitu serious kwani wengi humu hatuchukulii kila kitu serous na tupo hapa kupoteza wakati, tukipata mtu wa kwenda nae sambamba kwa ligi ndio furaha yetu.
 
Jamani hata mm huwa inanisikitisha sana mtu anapewa majibu ya mzaha na karaha angali aliyeuliza yupo siriaz na shida anahitaji msaada,ingewezekana kum-block mtu kama vile kwa fb ingekuwa poa sana
 
Back
Top Bottom