Je, ulikuwa wapi ulipokuwa na kitabu hiki?

Tumejazana humu tunataka Lissu awe Rais, nyie wafuasi wa TANU kubadilika iko kazi ya ziada
Sisi Wana Tanu ndio hatujawahi kuyaona hayo mapinduzu yaliyofanywa na CCM. CCM ya Magufuli imedhulumu michango yetu kwa wahanga wa matetemeko.
CCM ya Magufuli imeshindwa kutuambia Anzory yuko wapi, imeshindwa kutueleza ni Nani kampoteza Ben Saanane, hata aliyeandaa mauaji ya Tundu Lissu hata leo hajajulikana na serikali ya Magumashi iko tu, kwenye usingizi mkali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…