Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Yaani ulikuwa bado mbegu eee[emoji28][emoji38][emoji38]Nilikuwa bado kiunoni kwa baba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani ulikuwa bado mbegu eee[emoji28][emoji38][emoji38]Nilikuwa bado kiunoni kwa baba.
Duu Buji basi mimi babu sasa nilikisoma 83Hiki kitabu nilisoma mwaka 1986 Sisimba Shule ya Msingi.
ilikuwaje sarasa la pili, Mwalimu Benard, mama yake Edmund ndiye alikuwa mwalimu wetu wa darasa, je wewe ulikuwa wapi uliposoma kitabu hiki?
Ndio namaliza la saba1986 hata mama yangu hajapevuka bado
Watoto tumejazana humu, hlf hatuna adabu, unakuta kitoto kinakomaa kuku-quote upumbavu... 😝 😝Ndio namaliza la saba
Uandunje wangu tu ulinikosesha uhondo mapemaDuu Buji basi mimi babu sasa nilikisoma 83
Kumbe tuko na watoto wetu humu1986 hata mama yangu hajapevuka bado
Tumejazana humu tunataka Lissu awe Rais, nyie wafuasi wa TANU kubadilika iko kazi ya ziadaKumbe tuko na watoto wetu humu
Sisi Wana Tanu ndio hatujawahi kuyaona hayo mapinduzu yaliyofanywa na CCM. CCM ya Magufuli imedhulumu michango yetu kwa wahanga wa matetemeko.Tumejazana humu tunataka Lissu awe Rais, nyie wafuasi wa TANU kubadilika iko kazi ya ziada
Hiki nilikisoma 1983, salute kwangu au siyo Buji?Hiki kitabu nilisoma mwaka 1986 Sisimba Shule ya Msingi.
ilikuwaje sarasa la pili, Mwalimu Benard, mama yake Edmund ndiye alikuwa mwalimu wetu wa darasa, je wewe ulikuwa wapi uliposoma kitabu hiki?
Ohh yes, you deserve itHiki nilikisoma 1983, salute kwangu au siyo Buji?
Wangu alikua 13Kitambo sana, labda mama yangu atakuwa alkkisoma maana kwa muda huo alikuwa na 11yrs
Ahahh..much respect Uncle!Hebu muulize mama, unamkumbuka Uncle Bujibuji a.k.a Shabbat Ranks?
Akamchoma mkukiKwenye hicho kitabu kulikuwa na hadithi nyingine inaitwa 'Heri mimi sijasema' wahenga wenzangu nikumbusheni zingine