INJECTION TECHNICIAN
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 356
- 794
Swali langu nikichimba chini shimo lilonyooka naweza nikatokea bara jingine au nitatoke nje ya dunia!! Pls jaman MWENYE kujua anifahamishe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una uthibitisho upi kwamba miaka bilioni 10 iliyopita dunia haikuwepo?Natamani kukuamini, Lakini hiyo ingemake sense kama ulimwengu ungekuwa static.
ila unabadilika, Tena haubadiliki randomly tu ila Kuna sense ya direction kwenye hayo mabadiliko.
Yani Jana ni tofauti na Leo na Leo ni tofauti na kesho.
Miaka billion 10 iliyopita hata dunia haikuwepo.
Sasa kama Kuna mabadiliko ya kutoka sehemu moja kwenda nyingine hiyo ni kama inaashiria kuwa Kuna sehemu ulimwengu ulipotoka (mwanzo) na Kuna sehemu unaenda (mwisho)
Enda ucheki total recallSwali langu nikichimba chini shimo lilonyooka naweza nikatokea bara jingine au nitatoke nje ya dunia!! Pls jaman MWENYE kujua anifahamishe
Total recall ndo nniEnda ucheki total recall
Kwa mujibu wa huyo padri alisema thiory ya bing bang imechukukiwa na kanisa kama kielelezo cha tokeo moja wapo la ulimwengu, hio bing bang ndio Mungu mwenyewe ndivyo kanisa linachukuliaKwahiyo ulimwengu na Mungu ni kitu kilekile?
Wengine wanadhani black holes ni portals kuelekea ulimwengu mwingine maana kila kiingiacho hakitoki maana kuna safari isiyo na mwisho mbele.Kwa kwenda juu na kushuka chini ulimwengu una mwisho?
Wazee wa zamani walijua Kijiji wanachoishi ndiyo mwisho was dunia na hakuna maisha nje ya Kijiji. Baadae maendeleo yakafanya watu wajue hakuna maisha nje ya bara lao na wamezungukwa kote na maji tu.
Walipotengeneza meli wakajua kumbe Kuna mabara mengine ila dunia ndiyo mwisho. Walipogundua telescope wakagundua kumbe tupo ndani ya solar system iliyo ndani ya galaxy, galaxy Ina nyota zaidi ya Billioni 400.
Na bado galaxy tulizoziona ni zaidi ya trilioni 2 kwenye observable universe.
Key word ni Observable. Observable haimaanishi kwamba ndiyo mwisho was uwezo was vifaa tulivyo navyo kuona. Sio uwezo wa Bali ndio mwisho wa wigo tunaoweza kuona.
Maana nje ya hapo ulimwengu unatanuka Kwa Kasi kubwa kuliko spidi ya mwanga. Kwahyo mwanga wa hizo nyota kamwr hauwezi kutufikia.
Hence inaitwa unobservable universe. Yani hata tupewe miaka milioni ya teknolojia hatuwezi kupaonaa.
Lakini tuachane na uwezo wa kuona au kutokuona Leo swali langu ni la kifilosofia zaidi, je ulimwengu una mwisho?
Kama mwisho haupo inawezekanaje? Yani ulimwengu uendeleee milele na milele bila kubwa na ukomo?
Ina maana hauna kati pembeni Wala juu? Na kama Kuna mwisho, nje yake Kuna Nini?
Je, kuna utupu TU (space)? Maana hata hicho ni kitu. Kama Hamna kitu, what is Nothing? Is nothing possible?
Kama hakuna kitu na ukasimama kwenye ukingo wa ulimwengu, ukiamua kwenda huko nje itawezekana?
Kitu kwenda kwenye kusiko na kitu?
Kuna baadhi ya wanafizikia wanaamini ulimwengu ni kama mpira, kwamba hii spacetime tunayoishi imecurve Kwa degree ndogo sana na inatengeneza mzunguko kama mpira/yai.
Kwahiyo ukisafiri Kwa kunyooka baada ya mda mrefu karibia milele utajikuta umerudi ulipoanzia. Lakini hiyo siyo solution ya swali langu, maana litabaki palepale; nje ya huo mpira Kuna Nini?
Na labda ukitoka nje ya ulimwengu ukasafiri mbali sana utakutana na ulimwengu mwingine. Lakini Hata kama Kuna limwengu nyingi nje yake Kuna Nini?
Wazee wa multiple universes, Schrodinger's cat mnasemaje? Multiple timelines zinawezekanaje?
Au ulimwengu mzima upon ndani ya bakuli kwenye sebule ya Mungu? Hays huo ulimwengu wa Mungu hauna mwisho? Mungu ana mwisho wa upeo?
How significant are we? Maana ukizoom out ni sawa tunaishi juu ya jiwe linaloelea angani tunaloliita dunia. ila ukizoom out Hilo jiwe linakuwa kama kamchanga kadogo, kama ulimwengu (observable) ni bahari basi sisi tunaishi kwenye kamchanga kamoja kwenye ufukwe wa hiyo bahari. Na vipi tukizoom in? Kuna mwisho?
Mwanzoni wanasayansi kama Kina john Dalton waliamini mwisho ni kwenye atoms.
Baadae wakagundua hizo atoms zimeundwa na electrons protons and neutrons baadae wakagundua quarks, gluons, higgs, bosons, neutrinos nk. Nk.
Na wanazidi kugundua kadri teknolojia inavyokua. Je, Nako Kuna mwisho? Au na penyewe Kuna ukomo wa observation?
Does nothing exist? What is it?
Is it the absence of things?
Space time itself is a thing.
Does time exist when there are no things?
Huko nje ya ulimwengu Kuna muda?
Niishie hapa maana naona maswali ni mengi yasiyo na majibu.
Ni movie total recall 2012Total recall ndo nni
Kwa mujibu wa huyo padri alisema thiory ya bing bang imechukukiwa na kanisa kama kielelezo cha tokeo moja wapo la ulimwengu, hio bing bang ndio Mungu mwenyewe ndivyo kanisa linachukulia
Ikumbukwe ulimwengu ulianzia kwa kitu kidogo sana mithili ya punje ya mchicha kama unaifamu, ilikua ni nzito sana na yenye pressure sana ikapelekea kupasuka na kuzaliwa sayari, galaxy nk, ule msuko matokeo yake ndio yamezaa dunia na vinginevyo lakini athari za huo msuko zinaendela kukua na kutanuka ndio maana tunaweza kupa mwanzo wa ulimwengu ila hatupati mwisho wake.
Kwa hio ulimwengu na Mungu ni kitu kimoja, hio ni kwa mujibu wake , nami muuliza swali niliweza kuamiy kwa kiasi chake.
Tutakuwepo lakini kwa ufahamu wa kipindi hicho hicho ( nikimaanisha hatutakua na kumbukumbu kama tuliwai ku exist)Umetumia neno mujarabu OBSERVABLE, hii inamaanisha mwisho tunaoufahamu ni pale technology iliyopo duniani kwa sasa uwezo wake wa kuona/kukadiria unapoishia.
Ukweli utabaki kuwa UNIVERSE haina mwisho, hakuna NOTHING. Bahati mbaya uliyona(I mean inayokukosesha majibu) ni kuwahi kuzaliwa, kwa watakaozaliwa maybe 20 or rather 100 centuries from now majibu ya maswali yako yatakuwa ni kitu obvious kwao japo nao watakuwa na maswali beyond their knowledge/technology. Maybe colonisation au slavery itarudi kwa viumbe kutoka galaxies tofauti kuvamiana, kupigana na kutekana. Nobody knows. Hata aina ya viumbe(intelligent creatures) wa 'huko kwingine' hatuna hata idea wakoje(I mean maumbile kama idadi ya miguu, mikono, macho nk) na kama wakiingiliana na binadamu watazaa kitu gani lakini hivyo ni vitu ambavyo mbeleni vitatokea na bahati mbaya hatutakuwepo kushuhudia.
Tutakuwepo lakini kwa ufahamu wa kipindi hicho hicho ( nikimaanisha hatutakua na kumbukumbu kama tuliwai ku exist)
Au labda na uelewa utakuwepo kujua kama sisi viumbe n recyable.
Kwa kwenda juu na kushuka chini ulimwengu una mwisho?
Wazee wa zamani walijua Kijiji wanachoishi ndiyo mwisho was dunia na hakuna maisha nje ya Kijiji. Baadae maendeleo yakafanya watu wajue hakuna maisha nje ya bara lao na wamezungukwa kote na maji tu.
Walipotengeneza meli wakajua kumbe Kuna mabara mengine ila dunia ndiyo mwisho. Walipogundua telescope wakagundua kumbe tupo ndani ya solar system iliyo ndani ya galaxy, galaxy Ina nyota zaidi ya Billioni 400.
Na bado galaxy tulizoziona ni zaidi ya trilioni 2 kwenye observable universe.
Key word ni Observable. Observable haimaanishi kwamba ndiyo mwisho was uwezo was vifaa tulivyo navyo kuona. Sio uwezo wa Bali ndio mwisho wa wigo tunaoweza kuona.
Maana nje ya hapo ulimwengu unatanuka Kwa Kasi kubwa kuliko spidi ya mwanga. Kwahyo mwanga wa hizo nyota kamwr hauwezi kutufikia.
Hence inaitwa unobservable universe. Yani hata tupewe miaka milioni ya teknolojia hatuwezi kupaonaa.
Lakini tuachane na uwezo wa kuona au kutokuona Leo swali langu ni la kifilosofia zaidi, je ulimwengu una mwisho?
Kama mwisho haupo inawezekanaje? Yani ulimwengu uendeleee milele na milele bila kubwa na ukomo?
Ina maana hauna kati pembeni Wala juu? Na kama Kuna mwisho, nje yake Kuna Nini?
Je, kuna utupu TU (space)? Maana hata hicho ni kitu. Kama Hamna kitu, what is Nothing? Is nothing possible?
Kama hakuna kitu na ukasimama kwenye ukingo wa ulimwengu, ukiamua kwenda huko nje itawezekana?
Kitu kwenda kwenye kusiko na kitu?
Kuna baadhi ya wanafizikia wanaamini ulimwengu ni kama mpira, kwamba hii spacetime tunayoishi imecurve Kwa degree ndogo sana na inatengeneza mzunguko kama mpira/yai.
Kwahiyo ukisafiri Kwa kunyooka baada ya mda mrefu karibia milele utajikuta umerudi ulipoanzia. Lakini hiyo siyo solution ya swali langu, maana litabaki palepale; nje ya huo mpira Kuna Nini?
Na labda ukitoka nje ya ulimwengu ukasafiri mbali sana utakutana na ulimwengu mwingine. Lakini Hata kama Kuna limwengu nyingi nje yake Kuna Nini?
Wazee wa multiple universes, Schrodinger's cat mnasemaje? Multiple timelines zinawezekanaje?
Au ulimwengu mzima upon ndani ya bakuli kwenye sebule ya Mungu? Hays huo ulimwengu wa Mungu hauna mwisho? Mungu ana mwisho wa upeo?
How significant are we? Maana ukizoom out ni sawa tunaishi juu ya jiwe linaloelea angani tunaloliita dunia. ila ukizoom out Hilo jiwe linakuwa kama kamchanga kadogo, kama ulimwengu (observable) ni bahari basi sisi tunaishi kwenye kamchanga kamoja kwenye ufukwe wa hiyo bahari. Na vipi tukizoom in? Kuna mwisho?
Mwanzoni wanasayansi kama Kina john Dalton waliamini mwisho ni kwenye atoms.
Baadae wakagundua hizo atoms zimeundwa na electrons protons and neutrons baadae wakagundua quarks, gluons, higgs, bosons, neutrinos nk. Nk.
Na wanazidi kugundua kadri teknolojia inavyokua. Je, Nako Kuna mwisho? Au na penyewe Kuna ukomo wa observation?
Does nothing exist? What is it?
Is it the absence of things?
Space time itself is a thing.
Does time exist when there are no things?
Huko nje ya ulimwengu Kuna muda?
Niishie hapa maana naona maswali ni mengi yasiyo na majibu.
Ni hadithi zisizo na ukweli, ama ni ukweli wa zamani baada ya tafiti ukagundulika sio kweli.M
Mimi binafsi naona hii theory ina make sense. Ila yale tunayoambiwa kwenye dini mengi ni kamba.
Ni hadithi zisizo na ukweli, ama ni ukweli wa zamani baada ya tafiti ukagundulika sio kweli.
Ila binafsi ninaamini unapotafuta maarifa nje ya mfumo unaoamini inakuwa mwenue kujia mengi.
Uliwengu hauna juu wala chiniKwa kwenda juu na kushuka chini ulimwengu una mwisho?
Wazee wa zamani walijua Kijiji wanachoishi ndiyo mwisho was dunia na hakuna maisha nje ya Kijiji. Baadae maendeleo yakafanya watu wajue hakuna maisha nje ya bara lao na wamezungukwa kote na maji tu.
Walipotengeneza meli wakajua kumbe Kuna mabara mengine ila dunia ndiyo mwisho. Walipogundua telescope wakagundua kumbe tupo ndani ya solar system iliyo ndani ya galaxy, galaxy Ina nyota zaidi ya Billioni 400.
Na bado galaxy tulizoziona ni zaidi ya trilioni 2 kwenye observable universe.
Key word ni Observable. Observable haimaanishi kwamba ndiyo mwisho was uwezo was vifaa tulivyo navyo kuona. Sio uwezo wa Bali ndio mwisho wa wigo tunaoweza kuona.
Maana nje ya hapo ulimwengu unatanuka Kwa Kasi kubwa kuliko spidi ya mwanga. Kwahyo mwanga wa hizo nyota kamwr hauwezi kutufikia.
Hence inaitwa unobservable universe. Yani hata tupewe miaka milioni ya teknolojia hatuwezi kupaonaa.
Lakini tuachane na uwezo wa kuona au kutokuona Leo swali langu ni la kifilosofia zaidi, je ulimwengu una mwisho?
Kama mwisho haupo inawezekanaje? Yani ulimwengu uendeleee milele na milele bila kubwa na ukomo?
Ina maana hauna kati pembeni Wala juu? Na kama Kuna mwisho, nje yake Kuna Nini?
Je, kuna utupu TU (space)? Maana hata hicho ni kitu. Kama Hamna kitu, what is Nothing? Is nothing possible?
Kama hakuna kitu na ukasimama kwenye ukingo wa ulimwengu, ukiamua kwenda huko nje itawezekana?
Kitu kwenda kwenye kusiko na kitu?
Kuna baadhi ya wanafizikia wanaamini ulimwengu ni kama mpira, kwamba hii spacetime tunayoishi imecurve Kwa degree ndogo sana na inatengeneza mzunguko kama mpira/yai.
Kwahiyo ukisafiri Kwa kunyooka baada ya mda mrefu karibia milele utajikuta umerudi ulipoanzia. Lakini hiyo siyo solution ya swali langu, maana litabaki palepale; nje ya huo mpira Kuna Nini?
Na labda ukitoka nje ya ulimwengu ukasafiri mbali sana utakutana na ulimwengu mwingine. Lakini Hata kama Kuna limwengu nyingi nje yake Kuna Nini?
Wazee wa multiple universes, Schrodinger's cat mnasemaje? Multiple timelines zinawezekanaje?
Au ulimwengu mzima upon ndani ya bakuli kwenye sebule ya Mungu? Hays huo ulimwengu wa Mungu hauna mwisho? Mungu ana mwisho wa upeo?
How significant are we? Maana ukizoom out ni sawa tunaishi juu ya jiwe linaloelea angani tunaloliita dunia. ila ukizoom out Hilo jiwe linakuwa kama kamchanga kadogo, kama ulimwengu (observable) ni bahari basi sisi tunaishi kwenye kamchanga kamoja kwenye ufukwe wa hiyo bahari. Na vipi tukizoom in? Kuna mwisho?
Mwanzoni wanasayansi kama Kina john Dalton waliamini mwisho ni kwenye atoms.
Baadae wakagundua hizo atoms zimeundwa na electrons protons and neutrons baadae wakagundua quarks, gluons, higgs, bosons, neutrinos nk. Nk.
Na wanazidi kugundua kadri teknolojia inavyokua. Je, Nako Kuna mwisho? Au na penyewe Kuna ukomo wa observation?
Does nothing exist? What is it?
Is it the absence of things?
Space time itself is a thing.
Does time exist when there are no things?
Huko nje ya ulimwengu Kuna muda?
Niishie hapa maana naona maswali ni mengi yasiyo na majibu.
Wacha uongo ujui hapa tupo majiniasi halisi hiyo punje kuwa👉 nzito sana 😁😁😁😁 ni kichekesho kikubwa sana ...kama kuna mwana sayansi kasemq hivyo huyo moja kwa moja ni mpumbavu.Kwa mujibu wa huyo padri alisema thiory ya bing bang imechukukiwa na kanisa kama kielelezo cha tokeo moja wapo la ulimwengu, hio bing bang ndio Mungu mwenyewe ndivyo kanisa linachukulia