Je, ulimwengu una mwisho? Bonus question: What is nothing?

Swali langu nikichimba chini shimo lilonyooka naweza nikatokea bara jingine au nitatoke nje ya dunia!! Pls jaman MWENYE kujua anifahamishe
 
Una uthibitisho upi kwamba miaka bilioni 10 iliyopita dunia haikuwepo?

Kama miaka bilioni 10 iliyopita dunia haikuwepo, Ni miaka ipi dunia ilianza kuwepo?

Na ilianza kuwepo kutokea wapi?

Huko ilipotokea kulitoka wapi na kulifanyikaje?
 
Ulimwengu ni neno ambiguity

Kwa jinsi ulivyoelezea hapo kwenye context yako umeigusia planet earth.

So nikija kwenye swali lako, ni kweli planet earth ina mwisho?

Jibu ni ndio

Na ndio maana tunaona katika solar system, planet earth iko surrounded na sayari nyingine.

Ile gap kutoka sayari yetu kwenda nyingine ndio mwisho wenyewe huo.

Lakini kama unazungumzia universe iliyoambatana na galaxies space na muda kufikiria kama kuna uwezekano wa kuweza kwenda nje yake basi jibu la sasa kwa mujibu wa sayani ni haiwezekani.

Kwasababu ulimwengu unatanuka kwa kasi kubwa sana, kwa hiyo hata kama ukijaribu tu kuwaza kuna kifaa ambacho kitatumika kusafiri kwenda huko nje kumbuka hicho kifaa kipo ndani ya huo huo ulimwengu ambao unatanuka.

Kwa hiyo kwa mujibu wa theory ya sayansi kuhusiana na dhana hiyo ni kuwa hicho kitu haliwezekani.
 
Hili chapisho limenikumbusha through the wormhole with Morgan Freeman wengine tupo hapa tunapenda science ila ni vilaza, nasoma comments.
 
Kwahiyo ulimwengu na Mungu ni kitu kilekile?
Kwa mujibu wa huyo padri alisema thiory ya bing bang imechukukiwa na kanisa kama kielelezo cha tokeo moja wapo la ulimwengu, hio bing bang ndio Mungu mwenyewe ndivyo kanisa linachukulia

Ikumbukwe ulimwengu ulianzia kwa kitu kidogo sana mithili ya punje ya mchicha kama unaifamu, ilikua ni nzito sana na yenye pressure sana ikapelekea kupasuka na kuzaliwa sayari, galaxy nk, ule msuko matokeo yake ndio yamezaa dunia na vinginevyo lakini athari za huo msuko zinaendela kukua na kutanuka ndio maana tunaweza kupa mwanzo wa ulimwengu ila hatupati mwisho wake.

Kwa hio ulimwengu na Mungu ni kitu kimoja, hio ni kwa mujibu wake , nami muuliza swali niliweza kuamiy kwa kiasi chake.
 
Wengine wanadhani black holes ni portals kuelekea ulimwengu mwingine maana kila kiingiacho hakitoki maana kuna safari isiyo na mwisho mbele.
 
Kwa mujibu wa bigbang theory, an ukiangalia nature ya kila kitu, kina mwanzo na mwisho so hata universe ina mwisho wake, but ile cycle ya life and death lazima izingatiwe.
 
M

Mimi binafsi naona hii theory ina make sense. Ila yale tunayoambiwa kwenye dini mengi ni kamba.
 
Tutakuwepo lakini kwa ufahamu wa kipindi hicho hicho ( nikimaanisha hatutakua na kumbukumbu kama tuliwai ku exist)
Au labda na uelewa utakuwepo kujua kama sisi viumbe n recyable.
 

"What is nothing?",​

Jibu; nothing is something, nothing has room in our world.
 
M


Mimi binafsi naona hii theory ina make sense. Ila yale tunayoambiwa kwenye dini mengi ni kamba.
Ni hadithi zisizo na ukweli, ama ni ukweli wa zamani baada ya tafiti ukagundulika sio kweli.
Ila binafsi ninaamini unapotafuta maarifa nje ya mfumo unaoamini inakuwa mwenue kujia mengi.
 
Ni hadithi zisizo na ukweli, ama ni ukweli wa zamani baada ya tafiti ukagundulika sio kweli.
Ila binafsi ninaamini unapotafuta maarifa nje ya mfumo unaoamini inakuwa mwenue kujia mengi.

Hakika.
 
Uliwengu hauna juu wala chini
 
Wacha uongo ujui hapa tupo majiniasi halisi hiyo punje kuwaπŸ‘‰ nzito sana 😁😁😁😁 ni kichekesho kikubwa sana ...kama kuna mwana sayansi kasemq hivyo huyo moja kwa moja ni mpumbavu.
 
Maswali yako n ya kifalsafa ila unataka majibu ya kisayansi. Tatizo ndio liko hapo
Falsafa inaamini kuna ukomonwa kufikiri na ukomo wenyewe wa kufikiri ndio unapoishia hapo kuwa what is nothing na pili sayansi inagundua universe is expanding at millisecond for the high speed than light na unauliza how long will it expand until it got to the maximum limit hapo falsafa inajibu hakuna ukomo.

Bwana mi sijui nachojua kinachoonekana na kuthibitika ndio sahihi kisichothibitika kwa senses 5 za mwili hakipo hvyo tu. Labda mwewe na ndege wengine na viumbe wengine wanawwza kujua mwisho wa universe expansion wana senses zaidi ya hizi 5 tulizonazo. Nasema hv kwsbb wao wanauwezo wa kuona kwa infared mfano nyoka, panya na mbwa n. K mimi siwez.
Naamn tinatofautiana features hivyo senses hizi 5 hazitoshi ku explore iniverse tunahitaji zingine hata 50 hadi mabawa tuweze kuruka kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…