Je Ulipata kujiuliza tarehe kamili ya Pasaka(Passover) ni LINI?

joex

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Posts
2,321
Reaction score
1,906
Maadhimisho haya ktk miaka yetu hufanywa na wayahudi na hata wakiristo, ambapo wakiristo mbali na Pasaka huadhimisha pia UFUFUO wa YESU Kiristo

Chimbuko lake ni Ukombozi wa Wana wa Israel kutoka Utumwani nchini Misri. Mungu wa KWELI alimtumia MOSES ambaye kupitia kwake Mungu aliwapiga Wamisri na Farao wao Mapigo 10.

Baada ya PIGO la 10 Farao aliwaruhusu Wana wa Israel warudi kwao. Tarehe hiyo ambapo wana wa Israel waliruhusiwa kuondoka EGYPT ni NISAN 14(Tarehe 14 ya Mwezi wa NISAN- kulingana na kalenda ya Kiyahudi ambayo ina ulinganifu na mwenendo wa MWEZI)

Katika Karne ya Kwanza mwaka wa 33 AD, NISSAN 14 iliangukia Alhamis saa 12 Jioni (baada ya Jua kuchwa) mpaka Ijumaa saa 12 jioni.

Wayahudi mpaka leo bado wanafuata hiyo Kalenda yao. Hivyo KESHO JUMAMOSI TAREHE 12 APRIL kuanzia saa 12 Jioni mpaka JUMAPILI TAREHE 13 saa 12 Jioni Wayahudi wataanza kuanzimisha PASSOVER kwa siku 7.

Kwa nini sasa Wakristo wao wataazimisha PASAKA NA UFUFUO WA YESU TAREHE 16 APRIL ( ALHAMIS KUU), 17 APRIL (IJUMAA KUU) na 19 APRIL ( UFUFUO WA YESU)? For some reason waliamua kuzipa UMUHIMU siku za week za mwaka wa 33 AD ambapo TUKIO hilo Muhimu la Kifo cha Yesu kinachofungua MILANGO YA UKOMBOZI WA WANADAMU.

Hivyo kwa kuzingatia Gregorian calendar ambapo siku ya kwanza ya week ni Saturday nasiku ya saba ni Friday, wakiristo huangalia NISAN 14 imeangukia week gani.

Kwa mwaka huu wa 2025 NISAN 14 imeangukia week ya tarehe 12-17 April. NB tukio MUHIMU NA LENYE HISTORIA YA HUKO NYUMA NI ILE NISAN 14, ambapo wana wa Israel wanakombolewa toka utumwani; na kwa Wakristo ni KUKOMBOLEWA TOKA UTUMWA WA DHAMBI. Hivyo wakristo wanayapeleka maadhimisho hayo kwenye Alhamisi na Ijumaa ya week husika. Jambo lingine la kujifunza hapa ni kuwa Pasaka na Esther zote Lazima kuwa na MWEZI ULIOMKUBWA.

Wayahudi wao wana stick pale pale yaani waipa umuhimu TAREHE BADALA YA SIKU YA WEEK. Hapa chini nakuwekea Tweet ya Waziri Mkuu wa Israel akiikaribisha Passover hapo kesho.(JAMBO HILO LINAPATANA NA AKILI, MFANO HAPA TANZANIA BADALA YA KUAZIMISHA SIKU YA WEEK ALIPOKUFA NYERERE/KARUME SISI HUADHIMISHA TAREHE WALIZOKUFA)

Home work ninayomuachia kila mmoja ni kutafuta ni Wakiristo Gani ambao wao huazimisha hiyo Passover katika Nisan 14? Ikimaanisha wao wanaipa umuhimu tarehe ya kifo cha Yesu badala ya siku ya week ya Kifo cha Yesu

 
Maboresho madogo:
Siku ya kwanza ya Juma ni Jumapili na Siku ya Saba ni Jumamosi. Sasa kwa 2025 NISAN 14 inaanzia saa 12 jioni baada ya Jua kuchwa mpaka Jumapili saa 12 jioni. Hivyo inaifanya hiyo NISAN 14 kuangukia week la tarehe 13 mpaka 18 April, 2025. Ndiyo maana wakristo wakaipeleka Pasaka na Ufufuo wa Yesu tarehe 16/17 April na 19 April, 2025
 
Msituchoshe ninyi vijukuu vya Ellen G whites mtalijua jiji Eid imeisha, Pasaka yaja na mdudu anakuja
 
Msituchoshe ninyi vijukuu vya Ellen G whites mtalijua jiji Eid imeisha, Pasaka yaja na mdudu anakuja
Tatizo la kutotaka kujishughulisha kusoma. Au nikuwekee pictures za TikTok?
 
Hii hapa tweet ya Ubalozi wa UAE, Tel Aviv leo hii 12 April wishing Jews a Passover full of prosperity
 
Tarehe ya Pasaka hupangwa kutokana na muonekano wa mwezi.

Pasaka husherehekewa Jumapili ya kwanza, baada ya full moon ya kwanza baada ya jua kuwa la utosi equator. Ambayo jua huwa la utosi equator kila Tar 21 march.

So baada ya tar 21 march. Full moon ya kwanza toka tarehe hii, basi jumapili yake ni pasaka.
 
Hii sherehe ndo naiskia leo na uzee wangu huu
Elimu haina mwisho ndugu, tuendelee kujifunza. Home work yangu kwako: tafuta wakristo ambao wao waliamua kuzingatia ukumbusho wa kifo cha yesu kwa kuzingatia tarehe badala ya siku ya week
 
Soma vizuri bandiko langu ujifunze. Aidha, nime posti hapo uthibitisho kadhaa kukuonyesha kuwa leo ndiyo passover kama ilivyo chimbuko lake. Tuliza akili ujifunze
 
Yesu hakuagiza watu washerekee kufa kwake au kufufuka kwake. Aliwaagiza wakumbuke pasaka ya mwisho aliokula pamoja nao. Akitwaa mkate na divai na kusema fanyeni hivi kwa ukumbusho na kukitangaza kifo chake. So kuadhimisha kufa na kufufuka kwa Yesu ni mambo ya kujitungia. Ilitakiwa Wayahudi wanavyoadhimisha Pasaka Wakristo wawe wanaadhimisha Last Supper kama walivyoagizwa.
 
Uko sahihi kwamba siyo kuadhimisha, bali kukumbuka, (ukumbusho). Hakuagiza kukumbuka ufufuo. Chenye umuhimu ni kifo ambacho kinafungua milango ya kupatanishwa tena na Mungu na hivyo kupata msamaha wa dhambi. Ila nikusahihishe kuwa ile Final Super siyo kwa yenyewe ndiyo yenye umuhimu; badala yake ilibidi alitoe tamko la ukumbusho wa kifo chake kabla ya kufa. Ona hiyo screenshots kutoka Luke 22:19-20 ilivyotumia maneno (which is to be given; which is to be poured...) kumaanisha jambo linaloenda kutokea baadae kidogo.


mara baada ya kufa katika uhalisia wa maisha ya kibinadamu, Yesu asingeweza tena kuwa na wanafunzi wake. Yesu alipofufuka alikuwa mtu wa kiroho. (1Peter 3:18).
 
Unavyohangaika na Uzi wako sasa! Kuutafutia nyama nyama matokea yake unaweka marapu rapid tu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unavyohangaika na Uzi wako sasa! Kuutafutia nyama nyama matokea yake unaweka marapu rapid tu πŸ˜‚πŸ˜‚
Soma Hebrew 5:14 ndiyo utapata jibu lako
 
Baada ya kufufuka Yesu alikaa siku 40. Akiongea na wanafunzi wake. Hakuwapa maagizo mengine ya kukumbuka siku aliyouawa wala aliyofufuka. Walipaswa kukumbuka na kuadhimisha last supper.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…