Je Ulipata kujiuliza tarehe kamili ya Pasaka(Passover) ni LINI?

Je Ulipata kujiuliza tarehe kamili ya Pasaka(Passover) ni LINI?

Soma Hebrew 5:14 ndiyo utapata jibu lako
Mara zote kichaa humuona mtu mwingine ndiyo kichaa, na kingine kuwa mwehu sio lazima uvue nguo, ndiyo wewe wale vichaa tunao ishi nao ni pamoja na wewe kukariri vipande vipande vya mistari.
 
Masalia ya wale walio pona kipindupindu pale alipokuwa wanasubilia kwenda kuhubiri injili nchi za watu bila kuwa hata na passport sasa wanaanza kusumbua sumbua watu.
 
Back
Top Bottom