MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
yes yes no cavity tupo, tunalewa tu haina kuondoka na milupo.../
Natazama kushoto kulia nani yupo, tunafanya vituko tunachana mifuko../
Ukisikia hii piga makofi piga magoti, mchumba ukinuna nakupiga na noti.../
huyo ni stereoMistari yako naielewaga, ina vina.
Mimi ninapoishi kila mtu ana mishe zake kama hakijatokea kitu.Mimi hapa nilipo nchini Herzegovina ( yalipo Makazi yangu ya Kudumu ) kiukweli Ninalia mno ila nashangaa Mtaa wa Pili kuna Mijitu naiona ndiyo Kwanza tu inaagiza Supu na Chapati, Mwingine anaagiza Bia ya 19 huku akicheka zake tu na lingine linapanga Kete za Kucheza Pool Table.
Je, nawe huko uliko Wanalia au Hawajali?
Ya Hiari kama ya yule Mhaya na Mchagga au ile ya Kulazimishwa na Kuahidiwa Tsh 5,000/ na Pilau baadae? Salamu nyingi kutokea hapa nchini Herzegovina nilipo Ndugu?Watu wanahuzuni sana...
We ndio huyu wa kwenye hii avatar yako mkuu..!?Kweye TV ndo watu naona
wanalia... Binafs sjaafankiwa kuona live mtu akliaa[emoji848][emoji848][emoji848]
Hivi na ile Misiba ya Mhaya na Mchagga Watu pia Walihimizwa Kujitokeza kwa Ahadi Kibao au Walijitokeza kwa Uwingi ule kwa Utashi wao tu Wenyewe kwa Mapenzi ya dhati waliyokuwa nayo kwa Marehemu hao?Mimi ninapoishi kila mtu ana mishe zake kama hakijatokea kitu.
Cha kushangaza kuna gari lilipita mtaani hapa linatangaza kwamba watu wanaotaka kwenda kuaga taifa kuna usafiri wa bure - wakati hapa nilipo kwenda taifa ni dakika 10 kwa miguu.
Acha uwongo basi Ndugu mbona nakuona kabisa Unalia hapo huku ukisema kabisa kuwa uliahidiwa Nyadhifa na Mwamba ili ukipata ukamalizie Kibanda chako Bonyokwa?Kweye TV ndo watu naona
wanalia... Binafs sjaafankiwa kuona live mtu akliaa[emoji848][emoji848][emoji848]
Misiba pekee iliyogusa mioyo ya watu kwa hiari kabisa ni:Hivi na ile Misiba ya Mhaya na Mchagga Watu pia Walihimizwa Kujitokeza kwa Ahadi Kibao au Walijitokeza kwa Uwingi ule kwa Utashi wao tu Wenyewe kwa Mapenzi ya dhati waliyokuwa nayo kwa Marehemu hao?
Mimi huu Unaniliza sana Ndugu japo nipo zangu huku mbali kabisa nchini Herzegovina ila kuna muda Machozi yanapotea halafu nasahsu kama kuna Msiba na natakiwa Kulia.Misiba pekee iliyogusa mioyo ya watu kwa hiari kabisa ni:
- Mwalimu Nyerere
- Steven Kanumba
- Akwilini Akwilini
Hao ni watu waliowagusa kikamilifu watu kutoka moyoni kabisa. In short watu walinyong'onyea kabisa kwa kupoteza.
Hii misiba mingine huzuni za kulazimishana sana na kutumia nguvu kubwa mnoooo.
na Mengi mkuuMisiba pekee iliyogusa mioyo ya watu kwa hiari kabisa ni:
- Mwalimu Nyerere
- Steven Kanumba
- Akwilini Akwilini
Hao ni watu waliowagusa kikamilifu watu kutoka moyoni kabisa. In short watu walinyong'onyea kabisa kwa kupoteza.
Hii misiba mingine huzuni za kulazimishana sana na kutumia nguvu kubwa mnoooo.