Unawasilisha barua ya kusitisha biashara/shughuli zako. Halafu hao TRA watakujibu juu ya hilo.Nikitaka kuifunga iyo kampuni isiendelee kudaiwa nafanya nini
Kweli kabisa mkuu, wengi huwa hawajui hili suala na mamlaka husika huwa hawawakumbushi wahusika ama wateja wao juu ya huu wajibu.Hii kitu imenifanya ninadaiwa hela ya Kiwanja na TRA bila kupenda.
Hii ngoma hatari, mimi yalinikuta nikaenda kufile siku ya mwisho na mtandao wao kama unavyoujua ukanigomea yani nililipa 450,000/ machozi yananitokaKweli kabisa mkuu, wengi huwa hawajui hili suala na mamlaka husika huwa hawawakumbushi wahusika ama wateja wao juu ya huu wajibu.
Imewaumiza wengi sana. Mimi nimeleta thread hii kwa sababu huwa nina kawaida ya kuwatumia emails wateja wangu kiwakumbusha huu wajibu kumbe mmoja wao alikua akipuuza, kimeumana huoo ndio ananipigia.
Hii inaumiza sana na wengi hawajui. Juzikati hapo kunamteja alinifuata na case kama hii, yeye alikuta deni ni 10+M alifungua kampuni mwaka 2017 huko na hakuwahi kufanya lolote, sasa mwaka huu anataka kuishughulikia ndio anakutana na madeniHii ngoma hatari, mimi yalinikuta nikaenda kufile siku ya mwisho na mtandao wao kama unavyoujua ukanigomea yani nililipa 450,000/ machozi yananitoka