[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we n kiboko. Mpaka dingi amerudisha penenga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaninunulia boda boda iwe inaniingizia hela
Ajabu hajawahi nipa hata sent tangu anunue hiyo pk pk
Mi nlimwambia sitaki boda nataka hela yangu
Akaniambia ataiuza anipe hela yangu
(nilimkazia) sikutaka kujua alitoa wapi ila alinipa hela yangu
Mnuno ulidumu miaka..ni juzi hapa ndio umeisha
sirudiiiii tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we n kiboko. Mpaka dingi amerudisha penenga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ulifanya busara saanaMimi nilimkopesha mama wangu wa kambo ukapita muda alosema atarudisha. Kilichotokea akawa anajistukia hata ukimpigia kumsalimia au kumpasha habari yoyote na nilipogundua hivyo ikabidi ile pesa nimwambie aachane nayo nikasema akiipata ammeongezee kwenye ada ya mjukuu wake anayekaa naye ndo ikapita hivyo.
Good word for me.Siwezi kumkopesha MZAZI wangu hata Siku moja.
Siwezi kuwakopesha WAZAZI wangu hata Siku moja.
Na haijawahi kutokea hata Siku moja MZAZI wangu kuomba nimkopeshe.
Na haijawahi kutokea hata Siku moja WAZAZI wangu kuomba niwakopeshe.
Huwezi kumkopesha MZAZI wako hata Siku moja.
MZAZI wako kama ana shida, na wewe unacho unampa tu.
Aliyenifanyia MZAZI wangu tangu sijitambui mpaka kufikia hii leo, kwa kweli sina cha kumlipa, nifanye nitakavyofanya kwa kweli sitoweza kulipa FADHILA.
Waliyonifanyia WAZAZI wangu tangu sijitambui mpaka kufikia hii leo, kwa kweli sina cha kuwalipa, nifanye nitakavyofanya kwa kweli sitoweza kuwalipa FADHILA.
MUUMBA nazidi kuongeza DUA zangu uendelee kunitunzia WAZAZI wangu wawili
Sikumkopesha ila nilimwomba aniwekeee
kila nikipata sent namtumia,kila nkipata namtumia
ikafika muda nazitaka hela sasa,
(bwana weee) sitokaa nirudie tena na tena
Balaaa lake najuta mimi
Tumeanza kuongea majuzi juzi tu hapa
ila sirudiii nishasema
That's good kwq upande mwingine. Lakn hua mbaya Kama muhusika hakua na intereste ya kitu ambacho mzazi amefanya. Labda Kama mzaz aliyajua malengo ya mtoto kablaHii imenikumbusha jamaa mmoja aliwekeza kwa mama yake kiasi cha ela kama akiba yake alipokuja kufata ela akapewa kiwanja alichonunuliwa na mama yake walinuniana kwa mda maana yeye alitaka ela yake mpk leo kijana anamshukuru mama yake kwa kumuwekezea kwenye kiwanja ambacho kiligeuka mtaji wake baada ya mambo yake kwenda vibaya
Cc Kingsmann
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii haikua sawa aiseee[emoji3][emoji3][emoji3] mi sikumkopesha aliniambia aniwekee kwenye bank savings account yake maana mie nilikuwa nazila sina savings..haaa siku nakuja kumuuliza nikaufyata mwenyewe kwa jibu nililopata[emoji3] nilikumbushwa matumizi ya toka siku natungwa mimba[emoji3][emoji3]
That's good kwq upande mwingine. Lakn hua mbaya Kama muhusika hakua na intereste ya kitu ambacho mzazi amefanya. Labda Kama mzaz aliyajua malengo ya mtoto kabla
Bora we n Kama ulimpa tu hela ya dagaa. Wengine hutoa mamilion na hapat hata [emoji817]
Lakin pia bibiliavl hiyo hiyo. Haijawah kumpa ruhusa mzazi kua dikteta kwa mwanae Kama ulivyo elezeaBiblia kitabu cha Kutoka 20:12, Waheshimu baba yako na mama yako,' siku zako zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na Bwana Mungu wako.
Ukifahamu baraka zilizobeba haki ya wewe kuishi maisha marefu hapa duniani kuwa zimekalishwa kwa wazazi wako, kamwe huwezi lalamika kwa vijisenti ulivyo mkopesha mzazi wako na akashindwa kukulipa hata kama angekwambia tu kuwa hakulipi,tambua huna nguvu ya kuzuia chochote kwake na hata kama utajifanya kichwa ngumu kuvunja mahusiano huna unachompunguzia na mwisho wa siku utarudi tu kuhitaji msaada wake maana hiyo ni formula ya ki mbingu wala kamwe haipingiki.