Siwezi kumkopesha MZAZI wangu hata Siku moja.
Siwezi kuwakopesha WAZAZI wangu hata Siku moja.
Na haijawahi kutokea hata Siku moja MZAZI wangu kuomba nimkopeshe.
Na haijawahi kutokea hata Siku moja WAZAZI wangu kuomba niwakopeshe.
Huwezi kumkopesha MZAZI wako hata Siku moja.
MZAZI wako kama ana shida, na wewe unacho unampa tu.
Aliyenifanyia MZAZI wangu tangu sijitambui mpaka kufikia hii leo, kwa kweli sina cha kumlipa, nifanye nitakavyofanya kwa kweli sitoweza kulipa FADHILA.
Waliyonifanyia WAZAZI wangu tangu sijitambui mpaka kufikia hii leo, kwa kweli sina cha kuwalipa, nifanye nitakavyofanya kwa kweli sitoweza kuwalipa FADHILA.
MUUMBA nazidi kuongeza DUA zangu uendelee kunitunzia WAZAZI wangu wawili