Je ulisha wahi kumkopesha mzazi wako/ mlez pesa?????

Mimi namkopa mama yangu ila yeye hajawahi nikopa, aibu sana!
 
Mara nyingi hua nampa aniweke hela.. sasa najua kabisa hapa atanikataile anayonidaii. Hua hafanyi hvo..
Ana moyo mzuri sana wa kukujenga. N mwanamke anaejua kulea mtot ake. Hongera sana mkuu
 
Shida ya mkopo mara nyingi muombaji ana dictate amount....na mtoaji unatoa ukitarajia itarudi kama ilivyo. Sasa isiporudi inakuwa issue maana na wewe pengine una mipango yako.

Policy yangu ni kukwepa kukopesha ndugu na marafiki-ndugu....kama ikibidi kumkopesha nitapa kiwango cha chini kuliko anachotaka (kiwango ambacho nipo tayari kukipoteza).
 
Bora mmeuliza ndugu yenu niwapatie maarifa unaweza kabisa kumkopesha mzazi wako wala usiogope , kuna wakati unapanga malengo yako binafsi hii kila binadamu anayo nayeye anapata shida akifikilia karibu anakumbuka kuna kijana wake anaweza kumsaidia kwa haraka kwa wakati huo , inashauriwa upokee tu tena ikibidi ukumbushie pia , maana kama siku ikitokea anataka kukopa tena atashindwa kukuambia kama kila akikukopa unasamehe pesa, ikitokea anashida na million asikuombe maana wew kila akikukopa unasamehe, imetokea mara nyingi mshua anabiashara zake ambazo kwa wakati huo kuna pesa alikua anatalajia lakini mpaka pesa hiyo akipata deal linakua limeshapita tayari na haina maana tena , anaamua kumpigia kijana wake hapo nikopeshe million moja nitakulipa unampatia, then anarudisha unaposhindwa kumkopesha kisa unaogopa kumdai huo ni ubinafsi unamnyima yeye fursa ya kuja kupata msaada pale anapokua na shida , kumbuka hata siku moja huwezi kulipa thamani ya mzazi wa fadhila zake , maisha ni kusaidiana hivyo msaidie mzazi pale inapostairi, pia pokea msaada pia kutoka kwa wengine bila kuona wew unastaili kutoa tu, kuna watu wakitokea kupewa msaada wao pia hutafuta njia ya kulip thamani ya kile walichopewa huu ni ubinafsi mfano umenunuliwa saa ya laki tano wew pia unarudisha zawad yenye thamani kama ile hii inaonesha haupatii thamani kile mwenzio anakupa hata kama unauwezo kubali pia kusaidiwa , pia inapotokea mzazi amekukopa chukulia kama mkopo hii itafanya yeye kuthamini zaidi msaada wako pale unapokuja kumpatia pesa, lakini kila anapokuja kuomba mkopo wew unampa yote itafika kipindi atashindwa kuja kukopa anapokua na shida ya msingi kwa kuogopa kukubebesha mzigo.
 
Vizur. Ila watu back unawakopesha??? Ambao nao n ngumu kulipa after sometime?
 
Well said mkuu. Nakupa nyota 5.
,[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Vizur. Ila watu back unawakopesha??? Ambao nao n ngumu kulipa after sometime?
Yes, watu ambao naweza kuwa na ujasiri wa kuwadai mahakamani au kuchukua assets zao kufidia deni, sina tatizo. Ingawa naangalia, sio kama nakopesha tu hovyo. Watu ambao sijali sana kuvunja uhusiano nao kwa kudai changu.
 
Good good. Ngoja na mm nijaribu kua Kama wew
 
[emoji3][emoji3][emoji3] akikujibu nn ulipo zitaka?
Kaninunulia boda boda iwe inaniingizia hela

Ajabu hajawahi nipa hata sent tangu anunue hiyo pk pk

Mi nlimwambia sitaki boda nataka hela yangu

Akaniambia ataiuza anipe hela yangu

(nilimkazia) sikutaka kujua alitoa wapi ila alinipa hela yangu

Mnuno ulidumu miaka..ni juzi hapa ndio umeisha
 
Back
Top Bottom