Je ulishawahi kujamba/Jambiwa kwenye dala dala

Je ulishawahi kujamba/Jambiwa kwenye dala dala

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Kuna kamsemo kanasema kujamba ni kupumua,
Je ulishawahi kujamba au kujambiwa kwenye daladala? Vipi ilikuaje.


Note
Wenye private car na watoto wa kishua ambao hamjawai kupanda dala dala huu uzi hauwausu piteni hivi

Cc Zero IQ
 
.
56852676_2289651717919090_619215395093479424_n.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom