Je ulishawahi kuota ukimiliki Merceds Benz, sasa ndoto yako inatimia nitafute PM

Je ulishawahi kuota ukimiliki Merceds Benz, sasa ndoto yako inatimia nitafute PM

Kiboko.

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2013
Posts
2,896
Reaction score
1,214
Ipo Benz inauzwa Tsh 8M mazungumzo yapo,imetumika Dubai na mwsho hapa Dsm,ipo katka hali nzuri,imetembea km 200K,picha znafata wakuuu,kwa alie na uhitaji wa gar hiii nifate PM tuangalir jins ya kukuletea gar yako classc...
Natanguliza shukran wakuuuu ImageUploadedByJamiiForums1412765740.379416.jpgImageUploadedByJamiiForums1412765770.132245.jpgImageUploadedByJamiiForums1412765810.454552.jpgImageUploadedByJamiiForums1412765857.542570.jpg
 
Duh,
What if nishawahi kuota ila uwezo ndo sina?
Nikutafute pia??
 
Hahaha,aisee nimependa tangazo lako.
Mie nilikuwa nandoto enzi za Udogo ukisikia Benz kazi kweli.
Miaka ya mwanzo ya 80s ukiwanayo hiyo lazima serikali ikuite mhujumu uchumi na Raisi wa nchi lazima ajue kuna kiumbe kina Benz.
Lakini leo hii watu watapeta tu maana imekuwa bei rahisi hata NOAH bei ipo juu.

Gari nzuri lakini CC ngapi?maana hizi gari kazi ipo kwenye mafuta.
Kuna jamaa huku Zanzibar aliwahi kuwa na Benz akaichora Tax akabadilisha Engine na kuweka ya Toyota,sijui kama sio Toyota limited.
Basi ilikuwa burudani sana unachukua Tax benz,kumbe jamaa ndani ni siri yake
 
Kiongozi dude nimelipenda, mie nitakutafuta zikifikia 6.5m ndoto ninayo!
 
Changamka mtoa uzi....mm nimezaliwa dar sijawahi kuona benz taxt...
 
Hili dude ni L.H.D???? Au macho yangu
 
hapana dude sio lhd wal rhd ni li center sterling huoni usukani upo katikati? dereva kati abiria pembeni
 
Back
Top Bottom