Hahaha,aisee nimependa tangazo lako.
Mie nilikuwa nandoto enzi za Udogo ukisikia Benz kazi kweli.
Miaka ya mwanzo ya 80s ukiwanayo hiyo lazima serikali ikuite mhujumu uchumi na Raisi wa nchi lazima ajue kuna kiumbe kina Benz.
Lakini leo hii watu watapeta tu maana imekuwa bei rahisi hata NOAH bei ipo juu.
Gari nzuri lakini CC ngapi?maana hizi gari kazi ipo kwenye mafuta.
Kuna jamaa huku Zanzibar aliwahi kuwa na Benz akaichora Tax akabadilisha Engine na kuweka ya Toyota,sijui kama sio Toyota limited.
Basi ilikuwa burudani sana unachukua Tax benz,kumbe jamaa ndani ni siri yake