Je ulishawahi kutana na mzee kipanga

Je ulishawahi kutana na mzee kipanga

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Siyo kila mzee amejaliwa busara kuna wazee wengine vyatu kweli kweli kuliko ata uvyatu wa wale vijana wavuta bangi,

Usiombe ukutane na zee fyatu yaani utacheka ufe au utatamani tu huwe unamuona ona,

Kuna wazee wengine ni wakorofi ova sijui nisemeje yaani wao ujana wao walikuwa watukutu kuliko utukutu wenyewe na bado uzeeni wanaendeleza ligi tu,

''Nilipokuwa nakaa wakati ule nipo skuli kulikuwa na mzee mmoja tulimwitaga mzee nati yaani huyu mzee ukilikologa lazima ulinywe ana matusi heavy weight akianza kutukana lazima upite chocho tu basi kitaa kizima walikuwa wanamuheshimu,"

Je wewe ulishawahi kutana na mzee kipanga/korofi/gutabu gwa matusi ?
 
Aisee nilivyoona hiyo mzee kipanga nikadhani ni yule mzee Kipanga ninayemfahamu kumbe siye [emoji23]
 
Back
Top Bottom