Je, ulishawahi kuuza kitu mpaka siku ulipokiona ukakitamani tena

Je, ulishawahi kuuza kitu mpaka siku ulipokiona ukakitamani tena

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,204
Dunia hii bhana unaweza kuta unamiliki simu au gari sasa kuna wakati unakuta inakusumbua maybe kwa kuharibika Mara kwa mara unaamua bora uuze kwa bei ya hasara tu uongeze hela ununue nyingine ili isikufie mkononi,

Lakini mara tu baada ya kuuza ulitegemea jamaa ikipita muda flani aje akulaumu kwa kumuuzia mnemba lakini unakuta vise versa,

Ndio kwanza anakuja kukushukuru alafu ukicheki chombo kinapeta tu kama ni simu imeng'aa hatari kaiwekea cover, protector na manjonjo mengine au gari kaipiga wash imeng'aa hatari anapiga misele mingi kuzidi ata ile yako na wala haimsumbui tena, yaani mpaka unamind kwa nini uliiuza kwa bei ya karanga.

Cc Zero IQ
 
Niliuza Nokia yangu E72 nilijuuuuuuuta baada ya kujarb masimu meng ya batan ila sikupata ile test, niliisaka kwa udi na uvumbaa nikaipata online mpya wala sikusita nikabet, mpk kesho siiachii tenaa.
 
nishauzaga feni yang kwa mwanaa alaf nikanunua jingine baad ya week chalii...alaf nikwa naenda getto kwa mwan nakuta anakula kipupwe hakik kam sio uwepo wa mungu nilitak kukata kat nyanya pindi jamaaa akiwa nnje lkn nashukur nilishindaa ilo jaribuu
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Niliuza Nokia yangu E72 nilijuuuuuuuta baada ya kujarb masimu meng ya batan ila sikupata ile test, niliisaka kwa udi na uvumbaa nikaipata online mpya wala sikusita nikabet, mpk kesho siiachii tenaa.
Uliipata kwa bei ngapi online chief
 
Niliuza pikipiki yangu baada ya mwaka mmoja jamaa akataka kuiuza nikainunua tena coz nilikuwa bado naipenda sana
 
Uliipata kwa bei ngapi online chief
mpaka naipata dola 80
20190520_193157.jpg
20190409_114601.jpg
 
Nilinunua hiyo sony ndogo 150,000 nikaiuza 120,000 lengo ninunue hiyo kubwa ilikuwa 350,000 mwanangu jamaa alinikabizi hela nikiwa bar niliitafuna yote nikabaki natoa macho tu kama bundi.
Screenshot_20190520-202946-1.jpeg
Screenshot_20190520-203025-1.jpeg
 
Niliwahi uza gari baada ya kupata ajali. Jamaa aliitengeneza ikarudi kama ilivyokuwa. Basi kupita gereji naiona imepaki nje jamaa anasubiriwa aje aichukue, roho iliniuma balaa!
 
T 444 DF* niliipenda sana nilikutana nayo nilidata.. Bahati nzuri jamaa aliipimpu zaidi.
 
Niliuza Nokia yangu E72 nilijuuuuuuuta baada ya kujarb masimu meng ya batan ila sikupata ile test, niliisaka kwa udi na uvumbaa nikaipata online mpya wala sikusita nikabet, mpk kesho siiachii tenaa.
Hivi izo simu zipo?
 
Back
Top Bottom